2030 kuna uwezekano mkubwa Kafulila na Bashungwa wakapewa kijiti cha kuongoza nchi mama hatabiriki huko mbeleni

Nikikumbuka zama za kina nchimbi walipokuwa na makundi ya uraisi walichofanyiwa na mzee wa msoga sitosahau. na nukuu "Mimi nilikuwa mpole Sana sasa nawaletea mkali".

Mama Samia kwa jinsi navyomuona 2030 huenda akafanya kama ya jk 2015 maana namuona siyo muongeaji anawaangalia vijana wake utendaji wao wanayoyafanya na kujikalia kimya 2030 siyo mbali wale tunaowaona wanapambana kuwa maraisi huenda wakaja kuambulia patupu! Ccm NI dude kubwa na mwenyekiti wa chama ana manguvu sana.

Nawatakia mapumziko mema
JK hakumpa Madaraka JPM. Yeye mwenyewe TU alikuwa anahenyeshwa na Lowassa ambaye alishakiteka chama.
 
Yote heri, kwangu January Makamba ndie mwanadiplomasia anaefaa kuuvaa Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania. Taifa linahitaji mabadiliko ya kimkakati, hasa ule wa ushirikiano wenye tija baina ya mataifa sambamba na uwekezaji makini kutoka nje.
Januari Yuko hapo kwa kuwa ni mtoto wa Makamba. Otherwise ni wale watoto wa mjini ambaye hana tofauti na JK. Hastahili kuwa kiongozi sehemu yoyote ile nje ya familia yake.
 
Nikikumbuka zama za kina nchimbi walipokuwa na makundi ya uraisi walichofanyiwa na mzee wa msoga sitosahau. na nukuu "Mimi nilikuwa mpole Sana sasa nawaletea mkali".

Mama Samia kwa jinsi navyomuona 2030 huenda akafanya kama ya jk 2015 maana namuona siyo muongeaji anawaangalia vijana wake utendaji wao wanayoyafanya na kujikalia kimya 2030 siyo mbali wale tunaowaona wanapambana kuwa maraisi huenda wakaja kuambulia patupu! Ccm NI dude kubwa na mwenyekiti wa chama ana manguvu sana.

Nawatakia mapumziko mema
Kafulila na Bashungwa?

Kwa rekodi zipi walizonazo kwny nchi hii?
 
MAKAMBA January hamna kitu hapo, FISADI MKUBWA, BUMBULI IMEMSHINDA,kifupi anasifiwa eti ni bright intelligent, practical wise ni mweupe sana, ndo maana nishati ilimshinda..
Huyu na Mwigulu wanataka sana Urais,wasioangalia WATAUANA HAWA
Ndio mzuri huyo J Makamba aingie amalizie vyote tulivyonavyo
 
Ahaa mkuu uko vizuri sana kwenye matumizi ya lugha hasa dhihaka.
Na mama naye agombee Tena, ili amalizie kuuza vitu vilivyobakia, na JESHI LA WANANCHI WAANGALIE TU KAMA ILIVYOUZWA BANDARI KWA WAJOMBA ZAKE, uuzeni uzeen mpaka Ikulu uzeni
 
Umeweza kutambua codes zangu ehh 😹😹😹
 
2025 asithubutu, sisi tunaongeza spidi ya kumtukana ili asiwaze wala kushawishika kugombea nafasi 2025 😎 . Asiwe na tamaa...imetosha alivyoikaimu hiyo nafasi tunamshukuru kwa kutumalizia muda wa mwamba. Japo katikati ya uongozi wake anajigeuza geuza CHURA, isije kweny kampeni akajigeuza TUMBILI ikawa full kurukia miti😀. Asigombee mwakani..kwa ustawi wa heshima yake, asithubutu kudanganywa na akina Engineer waganga matumbo kwa kumnunulia ndege kwa pesa za dhurma na uizi, au kwa maneno ya akina nape mwiguli and Co.Ltd
 
2025 asithubutu, sisi tunaongeza spidi ya kumtukana ili asiwaze wala kushawishika kugombea nafasi 2025 😎 . Asiwe na tamaa...imetosha alivyoikaimu hiyo nafasi tunamshukuru kwa kutumalizia muda wa mwamba. Japo katikati ya uongozi wake anajigeuza geuza CHURA, isije kweny kampeni akajigeuza TUMBILI ikawa full kurukia miti😀. Asigombee mwakani..kwa ustawi wa heshima yake, asithubutu kudanganywa na akina Engineer waganga matumbo kwa kumnunulia ndege kwa pesa za dhurma na uizi, au kwa maneno ya akina nape mwiguli and Co.Ltd
 
Nikikumbuka zama za kina nchimbi walipokuwa na makundi ya uraisi walichofanyiwa na mzee wa msoga sitosahau. na nukuu "Mimi nilikuwa mpole Sana sasa nawaletea mkali".

Mama Samia kwa jinsi navyomuona 2030 huenda akafanya kama ya jk 2015 maana namuona siyo muongeaji anawaangalia vijana wake utendaji wao wanayoyafanya na kujikalia kimya 2030 siyo mbali wale tunaowaona wanapambana kuwa maraisi huenda wakaja kuambulia patupu! Ccm NI dude kubwa na mwenyekiti wa chama ana manguvu sana.

Nawatakia mapumziko mema
Bashungwa bado kidogo agombee 2040 apate ujasiri kwani hana
 
Back
Top Bottom