2030 kuna uwezekano mkubwa Kafulila na Bashungwa wakapewa kijiti cha kuongoza nchi mama hatabiriki huko mbeleni

Hizi propaganda sijui jamaa anawalipa sh ngapi. Mmepanga kabisa kutoka kwenye ma group yenu huko kwamba mmoja aanzishe uzi alaf wengine waje chap ku comment. Nitashangaa sana kama state haijagundua mchezo anaoufanya Kafulila ili apate uteuzi
 
Jenga hoja acha kutuhumu watu,
Kwanini unamtaja Kafulila wakati mada imemtaja pia Bashungwa?
 
Jenga hoja acha kutuhumu watu,
Kwanini unamtaja Kafulila wakati mada imemtaja pia Bashungwa?
Saiz si mmeanza kumuweka na Bashungwa baada ya kuona mkiweka Kafulila peke yake hamna engagement. Nguvu mnayotumia kum promote Kafulila wala ahihitaji Degree kujua kwamba kuna ka kikundi kanalipwa humu Jf ili kamsifie Kafulila apate uteuzi.

Mbinu za kizamani sana. Badala dogo akomae na PPP ili mama amuone eti anatuma chawa
 
Duuh kwahiyo na Mimi nimeingia kwenye rekodi?
Ila Mimi sio mnafiki Kafulila ni asset kwa Taifa nenda tafakari hii kitu
 
Huo uwaziri unatosha……ni mtanzania ndio lakini immediate grand father wake ni Mnyarwanda …
 
Yote heri, kwangu January Makamba ndie mwanadiplomasia anaefaa kuuvaa Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania. Taifa linahitaji mabadiliko ya kimkakati, hasa ule wa ushirikiano wenye tija baina ya mataifa sambamba na uwekezaji makini kutoka nje.
Aisee kuna watu wasiojua kinachoendelea duniani mzee kam Huna chakupost siutulie boss au unatutega tulopoke ututeke
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…