Benjamini Netanyahu
JF-Expert Member
- Aug 7, 2014
- 95,871
- 116,627
Jamaa uwezo wake ni mdogo snBashungwa anaweza kuwa mwadilifu ila hafai kuwa rais bora ya huyu maza mara 100, kwanza ni mwanaume asie na sauti kwa mkewe na mkewe ana asili ya Rwanda kwa karibu tegemeeni nchi kuliwa mkose hata kandambili
Mimi sio mtu wa Kafulila ila Mandela,Mkapa,Nyerere hata magufuli pia familia zilimshindaKafulila kashindwa kuongoza familia ake ataweza nchi?
Hebu sema ni kipi cha maana Kafulila kafanya?Mimi sio mtu wa Kafulila ila Mandela,Mkapa,Nyerere hata magufuli pia familia zilimshinda
Mimi nimemfuatilia Kafulila kwa mudaKafulila kashindwa kuongoza familia ake ataweza nchi?
Huo ubora wake huwa unauona wewe pekee, kwa kifupi Kafulila ni janja janja mingi snMimi nimemfuatilia Kafulila kwa muda
Tukiacha chuki na misimamo yetu mbalimbali,
Kafulila ni miongoni mwavijana safi sana kwenye hili Taifa,
Kama ni nidhamu Kafulila anasifika
Kama ni utii kwa Viongozi Kafulila anasifika,
Kama ni kuchukia Ufisadi Kafulila anasifika
Kama ni kuwapenda Wastaafu Kafulila anasifika sana
Kama kujenga hoja Kafulila anasifika
Kama ni Uadilifu Kafulila anasifika
Kama ni Ukali Kafulila anasifika
Kama ni uelewa wa mambo mbalimbali Kafulila anasifika
Kama ni kupigana na Mafisadi makubwa ya kiwango cha Escrow Kafulila anasifika.
Kafulila kwangu ni kijana Bora sana.
Labda unisaidie tu kujibu maswali haya machacheHuo ubora wake huwa unauona wewe pekee, kwa kifupi Kafulila ni janja janja mingi sn
1. Hizo hela ziliporejeshwa ziliwekwa kwenye account ipi na zikafanya kazi gani?Labda unisaidie tu kujibu maswali haya machache
1. Sio Kafulila alirejesha zaidi ya 320bl za Escrow hata kutaka kuuwawa?
2. Je, Kafulila anatuhuma yoyote ya Rushwa tangu akiwa Mbunge,RAS,RC au Leo PPP?
Ukiweza kunijibu maswali haya nitaanini Kafulila pia janjajanja kama wengine
Huna hoja zaidi uchafu tu !Huwa nawachukia sana watu wanaofuatilia ID badala ya hoja wakati jukwaa linataka ID fake
🤣🤣Huwa nawachukia sana watu wanaofuatilia ID badala ya hoja wakati jukwaa linataka ID fake
Andika vizuri mkuu ni Nchimbi sio nchimbiNikikumbuka zama za kina nchimbi walipokuwa na makundi ya uraisi walichofanyiwa na mzee wa msoga sitosahau. na nukuu "Mimi nilikuwa mpole Sana sasa nawaletea mkali".
Mama Samia kwa jinsi navyomuona 2030 huenda akafanya kama ya jk 2015 maana namuona siyo muongeaji anawaangalia vijana wake utendaji wao wanayoyafanya na kujikalia kimya 2030 siyo mbali wale tunaowaona wanapambana kuwa maraisi huenda wakaja kuambulia patupu! Ccm NI dude kubwa na mwenyekiti wa chama ana manguvu sana.
Nawatakia mapumziko mema
Relax kijana, CCM ni Ile Ile. JMAKAMBA For 2030.Aisee kuna watu wasiojua kinachoendelea duniani mzee kam Huna chakupost siutulie boss au unatutega tulopoke ututeke
Daaah ni kweli??1. Hizo hela ziliporejeshwa ziliwekwa kwenye account ipi na zikafanya kazi gani?
2. Alitolewa Simiyu kwa tuhuma za kushirikiana na waarabu kuuza wanyamapori
Lini Kafulila amewahi kupinga uuzwaji wa raslimali za nchi kwa waarabu? Kafulila huwa anapiga kelele kama yeye hilo dili hajanufaika nalo
Kafulila ni msaka fursa ndili ikipita pembeni anawaka kama nyuki ikipita kwake ni mpole haswaDaaah ni kweli??