Kafulila kashindwa kuongoza familia ake ataweza nchi?
Mimi nimemfuatilia Kafulila kwa muda
Tukiacha chuki na misimamo yetu mbalimbali,
Kafulila ni miongoni mwavijana safi sana kwenye hili Taifa,
Kama ni nidhamu Kafulila anasifika
Kama ni utii kwa Viongozi Kafulila anasifika,
Kama ni kuchukia Ufisadi Kafulila anasifika
Kama ni kuwapenda Wastaafu Kafulila anasifika sana
Kama kujenga hoja Kafulila anasifika
Kama ni Uadilifu Kafulila anasifika
Kama ni Ukali Kafulila anasifika
Kama ni uelewa wa mambo mbalimbali Kafulila anasifika
Kama ni kupigana na Mafisadi makubwa ya kiwango cha Escrow Kafulila anasifika.
Kafulila kwangu ni kijana Bora sana.