2080 idadi ya wanawake itakuwa kubwa kuliko wanaume

Mimi sio selfish naangalia maslahi ya watakaokuepo
Nimeona mtandaoni tafiti zisizo rasmi zinasema GenZ ni kizazi ambacho kinajihusisha na ngono kwa kiwango kidogo ukilinganisha na vizazi vilivyotangulia, inawezekana kadri miaka inavyoenda ndivyo kiu inaendelea kupungua 😁😁 mawazo yangu tu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…