2080 idadi ya wanawake itakuwa kubwa kuliko wanaume

2080 idadi ya wanawake itakuwa kubwa kuliko wanaume

Hizi takwimu naona Kuna upotoshaji mbona kama wanawake ni wengi sana kuliko wanaume, ukiacha china na india sidhani kama Kuna nchi yenye wanaume wengi kuzidi wanawake, labda mnifahamishe

siyo kweli, huu uongo nimekuwa nikiusikia kwa miaka mingi sana na sababu ya wanaume wa tanzagiza kupenda kujiona wako wachache sijawahi kuielewa lkn nafikiri ni psychological na pia ugonjwa wa akili au hata wakati mwingine influence ya islam tanzagiza inaweza kuwa inachangia wanaume kujiona kwamba wana upekee fulani na hivyo wanawake wanapaswa "wawagombanie", wanafikiri na kuamini kwamba wao (wanaume) wakiwa wachache basi ina maana ni special na wanawake wanawahitaji wao zaidi klk kinyume chake wakati siyo kweli uwiano wa wanawake na wanaume dunia nzima 1:1 kama kuna tofauti basi inaletwa na mambo ya kidunia kama labda vita lkn ni ndogo sana.

kwa tanzagiza na nchi nyingi duniani uwiano uko sawa ni 1:1 tena wanaume wanazidi lkn kwa kiasi kidogo sana, hivyo achemi kujidanganya, hakuna uhaba wa wanaume …
 
Nimeona mtandaoni tafiti zisizo rasmi zinasema GenZ ni kizazi ambacho kinajihusisha na ngono kwa kiwango kidogo ukilinganisha na vizazi vilivyotangulia, inawezekana kadri miaka inavyoenda ndivyo kiu inaendelea kupungua 😁😁 mawazo yangu tu
Nafkiri wamezaliwa kipindi ambacho dunia ina ma elfu ya burudani, kama uwepo wa social media, na nyinginezo nyingi, hali inayopelekea kupunguza concretration ya kutegemea sex pekee kama main source ya burudani
Ila hawa watoto wa 2000+ kitu pekee walichonacho hawa complicate mambo kabisa, ukimuelewa ni straight ndio au hapana
 
Wengi hautakuwepo, ndio wakati ambao wanawake saba watamfuata mwanaume mmoja
Mungu hawezi kuruhusu hilo. Ili hiyo hali itokee lazima kuwe na michakato flani flan kwasababu kwanza sisi wanaume kwenye kuzaliwa tuko juu kwasababu siku za kupata mtoto wakiume Mungu aliwawekea wanawake kuwa na hamu zaidi ya ngono,, pia kuna nchi zinazo control population so lazima wazazi wata opti kuwa na watoto wa kiume zaidi usishange hiyo 2080 idadi ikawa sawa au tukakaribiana sana labda vita vitokeee sana
 
Back
Top Bottom