ShesRise_1
JF-Expert Member
- Aug 21, 2025
- 22,235
- 51,111
Nitunze vizuri sasa 🥹😅Nimepiga hesabu, naona uwezekano wa wewe kuwepo ni mkubwa, ila utakuwa totally hoi Twin 😅.
Nitunze vizuri sasa 🥹😅Nimepiga hesabu, naona uwezekano wa wewe kuwepo ni mkubwa, ila utakuwa totally hoi Twin 😅.
Ila social media imekuwa mbadala wa mambo mengi, mema na mabayaNafkiri wamezaliwa kipindi ambacho dunia ina ma elfu ya burudani, kama uwepo wa social media, na nyinginezo nyingi, hali inayopelekea kupunguza concretration ya kutegemea sex pekee kama main source ya burudani
Ila hawa watoto wa 2000+ kitu pekee walichonacho hawa complicate mambo kabisa, ukimuelewa ni straight ndio au hapana
Hii inamaanisha wanawake ni malaya sanaKila siku mnadai wanawake wengi ila kila Jimbo unakuta Stoo njemba kibao zimejibanza, sasa hao wengi wanakuwaga wapi ?
Understood perfectly. Consider it done Twin!Nitunze vizuri sasa 🥹😅
Kwa nini kwa sasa wanaume ni wengi zaidi kuliko wanawake ?Hii sio habari njema, inakadiriwa 2080 idadi ya wanawake itapita idadi ya wanaume duniani. Kila uchao death rate inazidi kukua kwa sisi wanaume.
View attachment 3657376
Chanzo : NBS
High death rate ikiongezeka kwa upande wetu kwisha habariKwa nini kwa sasa wanaume ni wengi zaidi kuliko wanawake ?
Wanaume tumewazidi wanawake idadi km ya 42M hilo gap la wanawake kuja kuzidi wanaume litatoka wapi ?
Shemale🤣🤣 utasikia mke wa opama ni mwanaume🤣
High death rate ikiongezeka kwa upande wetu kwisha habari
Data zake haziko sawa. Hali ya sasa wanaume ni wengi....Kote huko? Sio kwamba ndio hali iliyopo sasa hivi 🤣🤣🤣
Angalia uhalisia.. kazini, familia yenu.. ukoo nk 😹Kwa data zipi
Idadi ya watu inapatikana kwa sensa mkuu. Huwezi enda uwanjani ukahesabu watu ukasema wanaume ni wengi kuliko wanawake, au huwezi enda baa ukahesabu watu ukasema wanaume ni wengi kuliko wanawake au huwezi enda kanisani ukahesabu watu ukasema wanawake ni wengi kuliko wanaume familia yetu wanaume wapo kazini kwetu wamejaa kwenye ukoo ndio usiseme🤣Angalia uhalisia.. kazini, familia yenu.. ukoo nk 😹
Natural sex will no longer existVipanga wataitumia kama sababu kuhalalisha polygamism
Sio habari njema kwa nani. Kuna mwanaume mwenye jukumu la kuweka uwiano wa idadi kati ya jinsia me na ke? Get busy with your life. The world shall always be in crisis. This will not change. There has never been any time in history where the world was not in a kind of crisis. Don't let that turmoil define you. Don't structure your life around fixing the world.Hii sio habari njema, inakadiriwa 2080 idadi ya wanawake itapita idadi ya wanaume duniani. Kila uchao death rate inazidi kukua kwa sisi wanaume.
View attachment 3657376
Chanzo : NBS
Punguza jazba mkuu. Wanawake kuzidi maana yake ni high death rate imeongezeka kwetuSio habari njema kwa nani. Kuna mwanaume mwenye jukumu la kuweka uwiano wa idadi kati ya jinsia me na ke? Get busy with your life. The world shall always be in crisis. This will not change. There has never been any time in history where the world was not in a kind of crisis. Don't let that turmoil define you. Don't structure your life around fixing the world.
Give yourself the permission to enjoy yourself, having peace inside and outside, regardless of then oise outside there. Be generous first to yourself, second to your family, and next to your immediate neighbors.
The world had been saving itself for millennia before you were born. If you die tomorrow, the world won't crumble. If you'd stop everything you are doing now, the world would still be spinning. Keep in mind, your role here is you. Living in peace, with less stress, less conflicts, healthy and joyful, is the only life equation worth solving.
Kwahiyo tufanye nini? Inajulikana mwanaume ni problem solver na main character. Obvious atakutana na situations zinazomsegeza karibu na kifo kuliko ilivyo kwa mwanamkePunguza jazba mkuu. Wanawake kuzidi maana yake ni high death rate imeongezeka kwetu
itafika hatua ukristo hautaendelea na upuuzi wa mke mmoja mana huwezi shindana na asili.Hii sio habari njema, inakadiriwa 2080 idadi ya wanawake itapita idadi ya wanaume duniani. Kila uchao death rate inazidi kukua kwa sisi wanaume.
View attachment 3657376
Chanzo : NBS
Kwahiyo miaka ni uongo mkuu. Nikweli sisi wanaume kwenye kuzaliwa tunazaliwa wengi kwasababu ya infuence ya ovulation na sex preferred lakini kufika miaka 50 wengi tumepotea kwenye maajali na magonjwa so ukihesabu nilazima uwakute wabibi wengi kuliko wababu . Lakini huu umri wa chini ni either sisi tuko juu au karibu uwiano sawaHii inaweza kuwa sababu maana kwa wastani wanaume kuishi ni miaka 76 na wanawake ni 82.
Lkn hilo pekee halibadilishi uasili maana kiasili wanaume huzaliwa wengi kuliko wanawake.
Inaweza kufika 2080 rate ndo ikaanza kubadilika