2097 nilivyo nusirika kuingia kwenye group la majambazi

Hiyo nafasi niliyo acha hapo juu ni kwaajili ya salam.
Twende kazi.....
Huo mwaka 2097 nina rafiki kwa jina la James.
Jame miaka hiyo ameajiriwa kwenye moja ya hotel zilizo bamba pale jijini Mwanza kwa jina la I.. Hotel.
Nimeenda kumtembelea James kwa kazi yake kama tulivyo kubaliana jana yake mazee....
Sasa, nikiwa nimetulia eneo la mapumziko juu ya ghorofa nakula pilsner baridiiii... mara namuona Henry, Henry ni mkubwa wetu kidogo miaka ile lakini alikua bro mmoja asie na baya....
Henry akaniita kama dogo then kwa heshma ya bro, nikanyenyuka na kuelekea upende wake.
Niliendelea kumfuata Henry hadi ghorofa ya jengo la chini na kisha nikaingia kwenye chumba kilichokua na makaka wakubwa walio jaa miili na wamevaa makoti.
Kisha Henry akawatambulisha wakaka wale kama mimi ni mdogo wake na kisha wakapunguza shaka.
Yule bro aliniambia nichukue begi la nguo chache nishuke nali chini kwenye sakafu ya mwisho kisha nitoke nalo getini nitampa mtu flani pale nje (alisema huyo mtu atanitambua).
Sasa mimi bila hiyana huyo.....
Nikashuka na begi bila wasi hadi getini na kisha nilipo jaribu kuangaza sikuona mtu pale, ghafla akatokea kichaa/mwehu kutoka upande wa pili wa road akaniambia hilo begi ni mali yake na alikua anasubiri James amletee....
Mara ghafla nikaskia pahhh.... milio ya risasi ili rindima na ghafla miili na damu zilitapakaa eneo lile la hotel.
Aiseee nilitoka mbio sijawahi kukimbia kama vile, yaani mapumziko nilikwenda kusimama kichochoro cha kuelekea makoroboi enzi hizo mwananchi hospital haijajengwa na pale pembeni ya police palikua ni jalalani..😂
Anyways.....
R.i.P James, na wale mabraza... kumbe walikua majambazi then huku kitaa tulikua tunawaona watu wa maana sana..😐
Ushimen ulitukosea sana wanajamvi 2018 ulipomuamishia jamaa muhamala tigo pesa kwa bahati mbaya tena hela ndefu jamaa akagoma kukurudishia badala yake kukudhihaki hadi Facebook. Ukaamua kumuumbua hadi kuweka uzi humu hadi picha zake baada ya kupeleleza. Ukatuahidi utatuletea feedback mrejesho hadi leo maamae umepotezea unatuletea tu story za ujambazi za 2097 😡😡😡😡😡😡😡😡😡😡😡😡😡😡😡😡😡😡😡😡😡😡😡😡😡😡😡😡😡
 
Hiyo nafasi niliyo acha hapo juu ni kwaajili ya salam.
Twende kazi.....
Huo mwaka 2097 nina rafiki kwa jina la James.
Jame miaka hiyo ameajiriwa kwenye moja ya hotel zilizo bamba pale jijini Mwanza kwa jina la I.. Hotel.
Nimeenda kumtembelea James kwa kazi yake kama tulivyo kubaliana jana yake mazee....
Sasa, nikiwa nimetulia eneo la mapumziko juu ya ghorofa nakula pilsner baridiiii... mara namuona Henry, Henry ni mkubwa wetu kidogo miaka ile lakini alikua bro mmoja asie na baya....
Henry akaniita kama dogo then kwa heshma ya bro, nikanyenyuka na kuelekea upende wake.
Niliendelea kumfuata Henry hadi ghorofa ya jengo la chini na kisha nikaingia kwenye chumba kilichokua na makaka wakubwa walio jaa miili na wamevaa makoti.
Kisha Henry akawatambulisha wakaka wale kama mimi ni mdogo wake na kisha wakapunguza shaka.
Yule bro aliniambia nichukue begi la nguo chache nishuke nali chini kwenye sakafu ya mwisho kisha nitoke nalo getini nitampa mtu flani pale nje (alisema huyo mtu atanitambua).
Sasa mimi bila hiyana huyo.....
Nikashuka na begi bila wasi hadi getini na kisha nilipo jaribu kuangaza sikuona mtu pale, ghafla akatokea kichaa/mwehu kutoka upande wa pili wa road akaniambia hilo begi ni mali yake na alikua anasubiri James amletee....
Mara ghafla nikaskia pahhh.... milio ya risasi ili rindima na ghafla miili na damu zilitapakaa eneo lile la hotel.
Aiseee nilitoka mbio sijawahi kukimbia kama vile, yaani mapumziko nilikwenda kusimama kichochoro cha kuelekea makoroboi enzi hizo mwananchi hospital haijajengwa na pale pembeni ya police palikua ni jalalani..😂
Anyways.....
R.i.P James, na wale mabraza... kumbe walikua majambazi then huku kitaa tulikua tunawaona watu wa maana sana..😐
Ushimen Be calm
 
Back
Top Bottom