2097 nilivyo nusirika kuingia kwenye group la majambazi

Hiyo nafasi niliyo acha hapo juu ni kwaajili ya salam.

Twende kazi.....

Huo mwaka 2097 nina rafiki kwa jina la James.

Jame miaka hiyo ameajiriwa kwenye moja ya hotel zilizo bamba pale jijini Mwanza kwa jina la I.. Hotel.

Nimeenda kumtembelea James kwa kazi yake kama tulivyo kubaliana jana yake mazee....

Sasa, nikiwa nimetulia eneo la mapumziko juu ya ghorofa nakula pilsner baridiiii... mara namuona Henry, Henry ni mkubwa wetu kidogo miaka ile lakini alikua bro mmoja asie na baya....

Henry akaniita kama dogo then kwa heshma ya bro, nikanyenyuka na kuelekea upende wake.

Niliendelea kumfuata Henry hadi ghorofa ya jengo la chini na kisha nikaingia kwenye chumba kilichokua na makaka wakubwa walio jaa miili na wamevaa makoti.

Kisha Henry akawatambulisha wakaka wale kama mimi ni mdogo wake na kisha wakapunguza shaka.

Yule bro aliniambia nichukue begi la nguo chache nishuke nali chini kwenye sakafu ya mwisho kisha nitoke nalo getini nitampa mtu flani pale nje (alisema huyo mtu atanitambua).

Sasa mimi bila hiyana huyo.....

Nikashuka na begi bila wasi hadi getini na kisha nilipo jaribu kuangaza sikuona mtu pale, ghafla akatokea kichaa/mwehu kutoka upande wa pili wa road akaniambia hilo begi ni mali yake na alikua anasubiri James amletee....

Mara ghafla nikaskia pahhh.... milio ya risasi ili rindima na ghafla miili na damu zilitapakaa eneo lile la hotel.

Aiseee nilitoka mbio sijawahi kukimbia kama vile, yaani mapumziko nilikwenda kusimama kichochoro cha kuelekea makoroboi enzi hizo mwananchi hospital haijajengwa na pale pembeni ya police palikua ni jalalani..😂

Anyways.....

R.i.P James, na wale mabraza... kumbe walikua majambazi then huku kitaa tulikua tunawaona watu wa maana sana..😐
Homeboy vp? bado sana tupo 2024 mwishoni mwishoni hatujafika na wengi wetu hatutakuwepo hiyo 2097 uliyosema. Hebu fanya marekebisho kidogo hapo.
 
Sema wote tuliomo humu sasa hivi hatutakuwapo hiyo 2097!
 
mwaka 2
Hiyo nafasi niliyo acha hapo juu ni kwaajili ya salam.

Twende kazi.....

Huo mwaka 2097 nina rafiki kwa jina la James.

Jame miaka hiyo ameajiriwa kwenye moja ya hotel zilizo bamba pale jijini Mwanza kwa jina la I.. Hotel.

Nimeenda kumtembelea James kwa kazi yake kama tulivyo kubaliana jana yake mazee....

Sasa, nikiwa nimetulia eneo la mapumziko juu ya ghorofa nakula pilsner baridiiii... mara namuona Henry, Henry ni mkubwa wetu kidogo miaka ile lakini alikua bro mmoja asie na baya....

Henry akaniita kama dogo then kwa heshma ya bro, nikanyenyuka na kuelekea upende wake.

Niliendelea kumfuata Henry hadi ghorofa ya jengo la chini na kisha nikaingia kwenye chumba kilichokua na makaka wakubwa walio jaa miili na wamevaa makoti.

Kisha Henry akawatambulisha wakaka wale kama mimi ni mdogo wake na kisha wakapunguza shaka.

Yule bro aliniambia nichukue begi la nguo chache nishuke nali chini kwenye sakafu ya mwisho kisha nitoke nalo getini nitampa mtu flani pale nje (alisema huyo mtu atanitambua).

Sasa mimi bila hiyana huyo.....

Nikashuka na begi bila wasi hadi getini na kisha nilipo jaribu kuangaza sikuona mtu pale, ghafla akatokea kichaa/mwehu kutoka upande wa pili wa road akaniambia hilo begi ni mali yake na alikua anasubiri James amletee....

Mara ghafla nikaskia pahhh.... milio ya risasi ili rindima na ghafla miili na damu zilitapakaa eneo lile la hotel.

Aiseee nilitoka mbio sijawahi kukimbia kama vile, yaani mapumziko nilikwenda kusimama kichochoro cha kuelekea makoroboi enzi hizo mwananchi hospital haijajengwa na pale pembeni ya police palikua ni jalalani..😂

Anyways.....

R.i.P James, na wale mabraza... kumbe walikua majambazi then huku kitaa tulikua tunawaona watu wa maana sana..😐
mwaka 2097! clasmet unazingua
 
mwaka 2

mwaka 2097! clasmet unazingua
Waw! Nimegundua kumbe homeboy aliandika mwaka kwa kutumia site mirror. Hapo mwisho inasomeka 97 kumbe ilitakiwa iwe 79. kwa hiyo ni mwaka 2079. Au sio homeboy?
 
Naikumbuka hiyo siku mimi nilitimua mbio breki ya kwanza ilikuwa lake hotel,kwa wenge nililokuwa nao breki ya pili ilikuwa Pasiansi -Maliasili.
 
Back
Top Bottom