Iyerdoy
JF-Expert Member
- Nov 17, 2023
- 1,755
- 1,939
Ameruhusiwa (discharged)kutoka hospitali ndo mana ameweza kuja hapa kuandika lakini anacho andika sasa dah! Mwambie binti yako i.e. mke wake Ushimen, ajitahidi sana kwa upande wa Lishe ikiwa ni pamoja na wewe mkwe uwaunge mkono.Umepona mkwe my classmate?