Iyerdoy JF-Expert Member Joined Nov 17, 2023 Posts 1,755 Reaction score 1,939 Dec 3, 2024 #61 Mamndenyi said: Umepona mkwe my classmate? Click to expand... Ameruhusiwa (discharged)kutoka hospitali ndo mana ameweza kuja hapa kuandika lakini anacho andika sasa dah! Mwambie binti yako i.e. mke wake Ushimen, ajitahidi sana kwa upande wa Lishe ikiwa ni pamoja na wewe mkwe uwaunge mkono.
Mamndenyi said: Umepona mkwe my classmate? Click to expand... Ameruhusiwa (discharged)kutoka hospitali ndo mana ameweza kuja hapa kuandika lakini anacho andika sasa dah! Mwambie binti yako i.e. mke wake Ushimen, ajitahidi sana kwa upande wa Lishe ikiwa ni pamoja na wewe mkwe uwaunge mkono.