20M inatosha kuhamia Dar kuanza Maisha na Biashara?

Kwa dar sikushaur hiyo hela hapa dar ni ndogo sana kama utategemea kuendesha maisha hapo hapo mana biasgara hadi kuja kukaa sawa si jambo dogo ilaa kama unataka kweli kuishi nayo nenda mkoa jirani nunua bajaji zako mbili used kwa m6 sita moja zungusha mwenyewe moja mpe mtu every day ukilaza kima cha chini elfu30 kwa zote sio, au kama unawazo la kutengeza pesa ndefu kwa m10 tu njoo pm nikupe dili za ndani ndan za hapa dar we ndani ya miez sita una mark m300 kwahy hy m_teni yako ila ni dili zinazoitaji mtu ambae amepania kutafuta pesa za kutosha kama huwez ngoja washaur wengine wanakuja kukufundisha kuuza ndala, soksi vitu vya kike kike, chupichupi hizi mwisho tra wanadai hujakata lesen ya biashara, kinachofuata wanakufilis unarud kijijin kutafuta tena mtaji chezea biashara ila kwa mim hiyo m20 nipesa ya kula bia nimeikawiza sana siku 5 hapo nimekula kwa bajeti coz ninajua kutafuta pesa na kutumia nikiripoti kutoka gheto ni mim mr pipa nasubiri ajira
We jamaa unaonekana unaskiliza sana stori za vijiweni
Na zimekuharibu
 
Fala kweli huyu aisee!
 
Changamoto ni kwamba kama unaenda kuanza biashara au mishe mpya ambayo hujawahi fanya hapo hutatoboa. All in all kafanye kitu ulicho na utaalam nacho au uzoefu, usijerogwa ukaambiwa kitu fulani kinalipa ukajichanganya. Note: Usitupie mapene yote..anza hata na robo yake
 
Kwa dar sikushaur hiyo hela hapa dar ni ndogo sana kama utategemea kuendesha maisha hapo hapo mana biasgara hadi kuja kukaa sawa si jambo dogo ilaa kama unataka kweli kuishi nayo nenda mkoa jirani nunua bajaji zako mbili used kwa m6 sita moja zungusha mwenyewe moja mpe mtu every day ukilaza kima cha chini elfu30 kwa zote sio, au kama unawazo la kutengeza pesa ndefu kwa m10 tu njoo pm nikupe dili za ndani ndan za hapa dar we ndani ya miez sita una mark m300 kwahy hy m_teni yako ila ni dili zinazoitaji mtu ambae amepania kutafuta pesa za kutosha kama huwez ngoja washaur wengine wanakuja kukufundisha kuuza ndala, soksi vitu vya kike kike, chupichupi hizi mwisho tra wanadai hujakata lesen ya biashara, kinachofuata wanakufilis unarud kijijin kutafuta tena mtaji chezea biashara ila kwa mim hiyo m20 nipesa ya kula bia nimeikawiza sana siku 5 hapo nimekula kwa bajeti coz ninajua kutafuta pesa na kutumia nikiripoti kutoka gheto ni mim mr pipa nasubiri ajira
We jamaa bonge la kiazi
 
Ngoja kwanza una familia...!? Yaani mke watoto n.k au upo single?

Kwanza, Kama una familia njoo Dar chukua chumba na sebule. Kama upo single chukua chumba kimoja hakikisha ni kina choo bafu ndani (master)

Pili, nenda sokoni Mabibo, kariakoo, jifunze biashara zifuatazo Viazi vya chipsi, Ndizi, vitunguu, miwa,machungwa n.k jifunze watu wanavyo fanya hizo biashara A-Z hakikisha unafahamu vyema kuhusu hizo biashara. Tumia muda wa kutosha kujifunza hata wiki 2 sawa tu.

Tatu, funga safari mpaka mkoa unao zalisha sana bidhaa moja wapo kati ya hizo ulizo jifunza nunua chukua fuso lako peleka sokoni anza kuuza bidhaa yako. Ukimaliza una rudi tena shamba hata kama kuna muda utapata hasara ila jua kwamba kila mwisho wa mwezi hauwezi kukosa faida ya 2/3 M's itategemea na soko mwezi husika limeendaje.

Angalizo usiweke mtaji wote kwenye biashara hii una weza kuanza hii biashara kwa 13M's huku bank account yako ikiwa na reserve ya 7M's. Mwombe Mungu sana azidi kukufungulia milango ya baraka, focus kwenye kazi yako mambo yasiyo ya muhimu kwako na kwa familia yako ya puuze. Baada ya mwaka usipo kuwa na faida ya 50/70 M's mmh sijuiiiiii.
 
Kutosha au kutokutosha inategemea na vingi.
Mfano maisha unayotaka kuja kuishi huku dar, je pia plans zako zinafanyika kivitendo maana kuna wengine wana plans kwenye vitendo ni ngumu.

Hiyo pesa inawezekana kabisa kuanzia life na mengine yakaenda, ila kwanini dar, hakuna sehemu ukafanya jambo?
 
Back
Top Bottom