20M inatosha kuhamia Dar kuanza Maisha na Biashara?

Sina la kushauri kwenye nini cha kufanya ila usipuuzie uzoefu pamoja na nidhamu ya pesa.
 
Chukua 10M weka UTT sahau kama una hela huko then 10 inayobaki kwakua lengo lako ni kwenda Dar nenda kufungue ofisi ya miamala kwa mtaji wa 5M kaa mwenyewe, halafu tafuta bajaj used ya 4M iwe inakuletea hela kila siku wakati unaendelea kujitafakari.
 
Usije na vistory vyako eti vunjabei alipambana kupata nauli ya kuja dar tu

Mpumbafff kabisaa wadanganye bodaboda wenzio hapo
Endelea na stress zako mwenzako anapiga maisha. Maskini siku zote zake stori. " Yule si Bure. Utajiri hauji hivi hivi...! Ni freemason. Kabebwa na babaake!" Wewe babaako alikuwwa wapi kukubeba? Pumbavu!!
 
Kama upo seriously nitafute hata DM 100% The rest will be history..
 
Mkuu dondosha madini hapa tufaidike wengi
Madini si Kwa ajili ya watu wotee msije sema Mimi ni motivational speaker πŸ”ŠπŸ”Š

πŸ˜…πŸ˜…πŸ€“πŸ€“πŸ€“β˜ΊοΈβ˜ΊοΈβ˜ΊοΈπŸ˜ŠπŸ˜ŠπŸ€£πŸ€£πŸ€£
 
Hili ni fungu la nyanya au comments?
 
Madini si Kwa ajili ya watu wotee msije sema Mimi ni motivational speaker πŸ”ŠπŸ”Š

πŸ˜…πŸ˜…πŸ€“πŸ€“πŸ€“β˜ΊοΈβ˜ΊοΈβ˜ΊοΈπŸ˜ŠπŸ˜ŠπŸ€£πŸ€£πŸ€£
Mkuu wewe weka atayefaidika ni yule atakayechukua hatua. Usiogopwe kusemwa mkuu watu wote hatuwezi kuwa sawa
 
Eti mil 20 Dar ndogo… Dar imekua New York
 
Ukishakuwa na nidhamu ya kazi unatoboa.....
Uza mahitaji muhimu ya nyumbani duku la jumla milioni 15...
Sabuni jumla,
Soda jumla,
Mafuta kupikia jumla,
Viberiti jumla,
Maji jumla,
Biscuit na pipi jumla,
Unga wa ngano jumla,
Dawa za meno jumla,
Tomatoes na chili jumla,
Vyakula kama tambi, blueband, maziwa ya unga jumla,
Mambo ni mengi ila try to be a whole saler 10+ ni capital ya kuanza.

E.g location ya frem au duka iwe sehemu yenye usalama na penye wahitaji wengi.

Idea nyepesi na rahisi, tatizo la sisi watu mtu hata apate 1mil... kwa mwezi haridhizi
 
Ipi kati ya hizo unafanya?
 
Endelea na stress zako mwenzako anapiga maisha. Maskini siku zote zake stori. " Yule si Bure. Utajiri hauji hivi hivi...! Ni freemason. Kabebwa na babaake!" Wewe babaako alikuwwa wapi kukubeba? Pumbavu!!
Haya shule zimefungua rudi shuleni

Usije tena hapa mpaka mwezi wa sita
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…