23.10.2016: Toto Africa Vs Simba S.C

Dakika ya 55: Simba sasa wanaongeza kasi na wanamiliki mpira kuanzia katikati ya uwanja.
 
Dakika ya 58: Simba wanafanya mabadiliko, anatoka Mwinyi Kazimoto, anaingia Jamal Mnyate.
 
Inabidi hawa wanaoanzisha post, wawe wana update kwenye post yao ya kwanza kama ilivyokuwa kwa ile ya Yanga jana.
 
Dakika ya 65: Simba wanafanya shambulizi kali, Kichuya na mpira lakini mabeki wa Toto wanaokoa.
 
Dk. 74.. Muzamiru Yasin anatunyanyua tena vitini.. Simba S.C 3-0 Totooo
 
Naona simba wanacheza HANGAISHA BWEGE hapa....
 
Jaman nipeni matokeo. Ndo naingia Mjini na kuwasha simu. Matokeo vipi kati Simba na Toto lao
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…