Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
auze asiuze sisi tunatembeza kichapo tu mpaka mtueleweBeki wa kushoto wa toto kauza mechi
Na maneno yako basi yatimie broKuna mengine 4 yapo njiani.. Si unajua leo tunamuadhibu baba na mwana.
Toka lini yanga ikaiuzia simba mechi?Beki wa kushoto wa toto kauza mechi
Kuwapiga 2.0 hazitoshi hawa ni wakuletewa mafuriko ya mabaoDakika ya 65: Simba wanafanya shambulizi kali, Kichuya na mpira lakini mabeki wa Toto wanaokoa.
Aisee huyu Mzamiru ni tatizo sanaDk. 74.. Muzamiru Yasin anatunyanyua tena vitini.. Simba S.C 3-0 Totooo
Tena huyu mtoto ni mpuuzi sana wakuletewa gharikaYaani tunaua ndege wawili kwa jiwe moja tu......
Tunamfunga TOTO na YANGA....maana wote dugu moja.....