GE2025 29 Oktoba tunashirikije uchaguzi ikiwa haya hayajafanyiwa kazi?

GE2025 29 Oktoba tunashirikije uchaguzi ikiwa haya hayajafanyiwa kazi?

Matukio, Taarifa, Habari na Mijadala ya Wananchi WAKATI wa Mchakato wa Uchaguzi Mkuu 2025

Kajeba

JF-Expert Member
Joined
Oct 15, 2020
Posts
1,126
Reaction score
2,538
Watu wa Tanzania! Sasa ni wakati wa kuandamana na kutoa sauti yetu kwa nguvu ili kuzuia uchaguzi wa udanganyifu tarehe 29 Oktoba 2025. Hapa kuna hoja kuu zinazothibitisha kuwa tunahitaji kubadilisha hali hii mbaya kabla ya kura kupigwa bila haki. Jitokeze kwa wingi na tuungane pamoja!

1. Tunahitaji reforms! "No Reforms, No Elections." Serikali imeshindwa kutoa uhuru wa kupiga kura, na NEC bado inategemea CCM. Tunahitaji INEC huru, marekebisho ya sheria za uchaguzi, na mabadiliko ya katiba ili kuzuia udanganyifu. Bila reforms, uchaguzi huu ni tishio la demokrasia!

2. Upinzani ushiriki hasa CHADEMA! CHADEMA, upinzani mkubwa, imezuiliwa rasmi kushiriki uchaguzi wa 2025 na by-elections hadi 2030.

3. Utekaji na mauaji.

4. Haki ya Tundu Lissu!*Tundu Lissu, mwenyekiti wa CHADEMA, amekamatwa na kushtakiwa kwa uhaini, Tuandamane ili kumkomboa na kutoa haki yake!
5. Vijana hawana ajira!
6. Hali ngumu ya maisha!

Watoto wetu, wazazi wetu, na vizazi vijavyo vinahitaji Tanzania huru na ya haki.Hamasa! Tufanye maandamano makubwa, tutoe sauti kwa amani na nguvu. Serikali inaogopa wingi wetu, kwa hivyo tuungane, tuongee, na tushinde. Tanzania ni yetu! Jitokeze sasa, na pamoja tutabadilisha historia.
 
Hii nchi ni ya watu wote sio nchi ya mtu wala kikundi cha watu.Mali za serikali ni za Watanzania sio mtu au kikundi cha watu.Jinsi siku zinavyoenda tutaelewana tu let's be patient
 
Sawa sawa mimi nitakua nipo na tenga langu la maji nawauzia waandamanaji
 
Mie naumia mno Kila kitu kubinafsishwa na sio ivyo kiongozi anaenda nje anafungua kampuni later anakuja Tanzania Kama muwekezaji na anasema hakuna kulipa Kodi eternally.
Ama wanashirikiana na wawekezaji kupewa asilimia zake.
Mnaona hata zabuni ya ujenzi wa reli tabora to kigoma Kuna madudu ya kufa mtu.
 
Inabidi mmaanishe kweli kweli,laa ......
 
Back
Top Bottom