GE2025 29 Oktoba tunashirikije uchaguzi ikiwa haya hayajafanyiwa kazi?

GE2025 29 Oktoba tunashirikije uchaguzi ikiwa haya hayajafanyiwa kazi?

Matukio, Taarifa, Habari na Mijadala ya Wananchi WAKATI wa Mchakato wa Uchaguzi Mkuu 2025
Watu wa Tanzania! Sasa ni wakati wa kuandamana na kutoa sauti yetu kwa nguvu ili kuzuia uchaguzi wa udanganyifu tarehe 29 Oktoba 2025. Hapa kuna hoja kuu zinazothibitisha kuwa tunahitaji kubadilisha hali hii mbaya kabla ya kura kupigwa bila haki. Jitokeze kwa wingi na tuungane pamoja!

1. Tunahitaji reforms! "No Reforms, No Elections." Serikali imeshindwa kutoa uhuru wa kupiga kura, na NEC bado inategemea CCM. Tunahitaji INEC huru, marekebisho ya sheria za uchaguzi, na mabadiliko ya katiba ili kuzuia udanganyifu. Bila reforms, uchaguzi huu ni tishio la demokrasia!

2. Upinzani ushiriki hasa CHADEMA! CHADEMA, upinzani mkubwa, imezuiliwa rasmi kushiriki uchaguzi wa 2025 na by-elections hadi 2030.

3. Utekaji na mauaji.

4. Haki ya Tundu Lissu!*Tundu Lissu, mwenyekiti wa CHADEMA, amekamatwa na kushtakiwa kwa uhaini, Tuandamane ili kumkomboa na kutoa haki yake!
5. Vijana hawana ajira!
6. Hali ngumu ya maisha!

Watoto wetu, wazazi wetu, na vizazi vijavyo vinahitaji Tanzania huru na ya haki.Hamasa! Tufanye maandamano makubwa, tutoe sauti kwa amani na nguvu. Serikali inaogopa wingi wetu, kwa hivyo tuungane, tuongee, na tushinde. Tanzania ni yetu! Jitokeze sasa, na pamoja tutabadilisha historia.
 

Attachments

  • 2025-09-23-185249930.mp4
    3.4 MB
Nimefanya assessment, oktoba tunatiki

Hii inchi bado inawahitaji sisiem
 
Back
Top Bottom