3 years Anniversary in JF

Unapoangalia movie za kichina, kihindi, kikorea, kirusi, kiislael na mataifa yote yasiyotumia English huwa unapata changamotto gani kuzielewa kama zikiwa hazina subtitles??
Hapo itanibidi nipakue subtitles maanna najua lugha 3 tu.. za mataifa ya nje. Kirusi na ki hebrew nampango siku moja nijifunze
 
Hahahah nani anataka maigizo[emoji28][emoji28]
😂😂😂😂😂😂 You will be condemned for this akii...
Ila wengine wanatafuta wa kuwaigizia wanakosa☺☺☺
 
Ninachoweza kusema kwako kuwa sasa umekua, ulikuwa na utoto mwingi kipindi cha nyuma hasa kabla hujadili id
 
Ninachoweza kusema kwako kuwa sasa umekua, ulikuwa na utoto mwingi kipindi cha nyuma hasa kabla hujadili id
Ahsante sana mkuu.. I've nany personalities. Ila hii ya Davinci ndio real me
 
Kwanza niambie pc yako inatumia window ten au ina VLC. Kama jibu ndio ingia kwenye Site ya Opensubtittles au TV subtitles au YIFY subtitles kisha sachi na pakua subtitles utakavyo
Nina simu yangu tu ya tecno hapa, swala la PC hicho ni kitendawili kingine kabisa..ila ahsante kwa majibu yako!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…