businesslink
Senior Member
- Mar 20, 2019
- 129
- 115
Isizidi miaka 3
Budget
Maintainance
Kodi
Utaenda na ipi kati ya hizo? na kwa nini
Budget
Maintainance
Kodi
Utaenda na ipi kati ya hizo? na kwa nini
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hizi ni gari za ndoto yangu kabisa ipo siku nitakuwa nalo tu labda waache kuzalisha kmmk zao.Zile zenye logo ya Toyota mbele sizikubari muonekano wa njeView attachment 2842625
View attachment 2842626
View attachment 2842627
Hizi ni gari za ndoto yangu kabisa ipo siku nitakuwa nalo tu labda waache kuzalisha kmmk zao.
Muonekano ni sawa ndugu. Hapo ni kununua tu labda after-market front grillZile zenye logo ya Toyota mbele sizikubari muonekano wa njeView attachment 2842625
View attachment 2842626
View attachment 2842627
Zijae mara ngapi kaka[emoji23]hizo disco 3 na 4 kuna garage Makumbusho hapo ishakua kama yadi yani[emoji23]Hizi discovery na Range rover Ni suala la muda tu. Zitajaa gereji punde kama BMW
Muonekano ni sawa ndugu. Hapo ni kununua tu labda after-market front grill
Hizi discovery na Range rover Ni suala la muda tu. Zitajaa gereji punde kama BMW
Vijana wananunua hizo gari bila kufanya utafitiKaka kuna seheme naendaga kuosha gari,kila nikienda BMW zimeongezeka ,kuna gereji hapo.
Vijana wananunua hizo gari bila kufanya utafiti
Landrover sio ya kipato kidogoVipato vidogo
Huoni Ni after market hio?Chukua Fortuner usichukue gari za singapole
Ukichukua Fortuner ya 2015 ambayo haina logo ya Toyota kwa mbele kama hii (4W)View attachment 2842618
View attachment 2842619
View attachment 2842620
Landrover sio ya kipato kidogo
Zijae mara ngapi kaka[emoji23]hizo disco 3 na 4 kuna garage Makumbusho hapo ishakua kama yadi yani[emoji23]