Mzee Kigogo
JF-Expert Member
- Jun 3, 2018
- 9,968
- 16,680
Kwa mtu anayejua magari hawezi kulinganisha discovery 4 na fortuner.Nakuunga mkono,yani kweli niache discovery 4 nikanunue Fortuner!kweli usichokijua ni kama usiku wa giza,Haya mambo ya akili mgando watanzania sijui yatatuisha lini,ombeni hata mwenye hiyo discovery akuonjeshe hata km 5 tu halafu tuone ukija humu utaongea nini...
Fortuner amemuacha mbali sana kuanzia reliability, Durability, resale value nk.
Disco 4 imemzidi fortuner kwenye mbio na comfort tu. Gari ya mzungu ununue mpya pale cmc ila haya ya kuagiza kwa bwana Lukosi kila siku utashiia garage