4 Fortuner VS Discovery 4 tuagize kutoka Africa ya Kusini au Singapore?

4 Fortuner VS Discovery 4 tuagize kutoka Africa ya Kusini au Singapore?

Hamna gari mule. Discovery pamoja na kaka ake range rover ni uchafu mtupu.
Bora ujilipue na Land Cruiser 100 series 1HDT Fte japo bei zake zimesimama sana
Hapana, 1HDT-FTE bei zake za kawaida sana hata ukinunua mkononi mwa mtu yani. Na hata ukinunua mkononi still unakua na uhakika wa reliability tofauti na mtu alieagiza disco. Mkononi kukutana na 100 series ya 25-35m zipo sana. Labda ukutane na dosari ndogo ndogo ambazo ukiweza kuzifix unakua uhakika wa safari popote na muda wowote
 
Landcruiser, Kuagiza jiandae kukutana Jodi si chini ya 35m TZS (TRA)
 
Naomba kufahamu Jina la Hiki Kitabu MKIBAIGWA

Kama una softcopy tunaomba ushee hapa pia kwa manufaa ya wengi

IMG_9595.jpg
 
Naenda na discover...

Sent from my SM-S908E using JamiiForums mobile app
Nakuunga mkono,yani kweli niache discovery 4 nikanunue Fortuner!kweli usichokijua ni kama usiku wa giza,Haya mambo ya akili mgando watanzania sijui yatatuisha lini,ombeni hata mwenye hiyo discovery akuonjeshe hata km 5 tu halafu tuone ukija humu utaongea nini...
 
Back
Top Bottom