Nakuunga mkono,yani kweli niache discovery 4 nikanunue Fortuner!kweli usichokijua ni kama usiku wa giza,Haya mambo ya akili mgando watanzania sijui yatatuisha lini,ombeni hata mwenye hiyo discovery akuonjeshe hata km 5 tu halafu tuone ukija humu utaongea nini...