4 The Ladies,if your BF/Husband Slaps U Whats your Best Reaction?

4 The Ladies,if your BF/Husband Slaps U Whats your Best Reaction?

halafu cjui kwanini wengi wao huwa wanazaa sana, yani mpaka unajiuliza huyu ana matatizo hivi kila kukicha kuzaa ya nini jamani, wawili wangemtosha kabisa.

Ndoa zingine maamuzi ya kuzaa watoto wangapi yako kwa baba, we mama ni kupokea mimba tu kwenda mbele na usithubutu kuuliza!
 
kama umeshawahi kwenda musoma, au umebahatika kuona maisha ya ndoa ya watu wa huko, ungejuta kusema Say NO To Kipondo!kule mwanamke anafurahia kipondo, kwani asipopigwa muda mrefu anaona kuwa manaume ameshapata nyumba ndogo na penzi kwake kwishney!upo hapo Nyamayao?

nilizani ni hadithi za kutania makabila.kama ni kweli,basi maajabu yapo ya sura na shape mbalimbali.
 
Aalaah!! anipige kwani nimekuwa ngoma!! namtemea mate usoni halafu ndo mwisho wa uhusiano:hand::hand:
 
Utalia?
Utamrudishia?
Utamkiss ?
Utamwambia i love u
Hutaongea nae 1 day , 1week ,month or a year,
Utaachana nae /:couch2:
have great weekend !

NB: nauliza tu..... Wanaume mnaruhusiwa kuweka maoni yenu

FL1,

Nimepata wasi wasi sana na michango ya wadau. Labda uombe mod watuwekee kura ya maoni ili tupige kura, tuweze kujua ni wangapi walishawai kulabua au kulabuliwa.

Halafu kumetokea mkanganyiko kati ya kulabu kibao kimoja au viwili, na kile kipigo cha mbwa mwizi.

Naungana na Funzadume, Fidel et al. kwamba kujikuta umerusha mkono mara moja au mbili kwa wale ambao tuko kwenye hizi biashara kwa zaidi ya miaka 10 siyo ajabu kabisa. Jamani acheni utani na maneno ya dada zatu hawa. Tunawapenda sana ila naona Mungu alifanya miscalculation kwenye upande wa kurusha maneno!

Ngoja niishie hapa kwanza.

Naona wadada wote wa JF ni wabarikiwa,... hawajawahi kulambwa kibao hata mara moja. Mshukuruni Mungu sana.

DC
 
Aalaah!! anipige kwani nimekuwa ngoma!! namtemea mate usoni halafu ndo mwisho wa uhusiano:hand::hand:

hahahahaha Maria Roza mwenzio nimejikuta naangua kicheko hili jibu dahh vip mipangilio ya w/kend?
 
in any kind of life, kupigana regardless of jinsia yako, ni ujinga wa kijinga kutoka kwenye mawazo yamjinga

cha maana ni kuavoid confrontations

Mkuu nadhani tunachanganya hapa. Kuna kupigana hadi watoto wakakimbia kwa majirani. Hili hakuna mtu mwuungwana anapenda kuliona au kulisikia, ingawa yapo sana huko mitaani.

Ila kuna hili alilouliza FL1, ku-slap. Nadhani hili linatokea mara nyingi tu. Pamoja na kuwa wahanga ni wanawake, hata hivyo kuna adhabu kali sana wanazowapa waume zao ambazo ni kubwa kuliko ku-slap.
 
nipo...sasa hizo ni mila zao, wanazikubali na wanazifurahia, marangu kwetu hatuna hizo mila, nadhani na usukumani hawana pia, ndio mana nitashangaa cku yakitokea hayo...

See!!!Thus, saying No To Kipondo is not a justifiable statement!
 
Ndoa zingine maamuzi ya kuzaa watoto wangapi yako kwa baba, we mama ni kupokea mimba tu kwenda mbele na usithubutu kuuliza!

kama bado nitakuwa naipenda hiyo ndoa nitafanya maarifa, "kwasasa sishike mimba na cjui kwanini"...nikiwa tayri na mambo yangu najiachia nishike, hapo ni kama bado naipenda, kama ipo ipo tu kama nyanya za nyongeza na ninaona watoto nilionao wananitosheleza kwanini mtu anilazomishe? hapo nitaangalia njia mbadala...ikiwezekana na yeye abebe, swala la watoto ni la kujadili pa1, halina baba kaamua wala mama kaamua.
 
FL1,

Nimepata wasi wasi sana na michango ya wadau. Labda uombe mod watuwekee kura ya maoni ili tupige kura, tuweze kujua ni wangapi walishawai kulabua au kulabuliwa.

Halafu kumetokea mkanganyiko kati ya kulabu kibao kimoja au viwili, na kile kipigo cha mbwa mwizi.

Naungana na Funzadume, Fidel et al. kwamba kujikuta umerusha mkono mara moja au mbili kwa wale ambao tuko kwenye hizi biashara kwa zaidi ya miaka 10 siyo ajabu kabisa. Jamani acheni utani na maneno ya dada zatu hawa. Tunawapenda sana ila naona Mungu alifanya miscalculation kwenye upande wa kurusha maneno!

Ngoja niishie hapa kwanza.

Naona wadada wote wa JF ni wabarikiwa,... hawajawahi kulambwa kibao hata mara moja. Mshukuruni Mungu sana.

DC

hahaha Mbona wapo waliosema wameshalambwa vibao DC ngoja nimuombe Mods atuwekee hiyo Poll cjui ndo inaitwa hivyo..
One day nilibakia kidogo kulambwa kibao ila mzee akajishitukia akasema una bahati marehemu mama yangu kabla ya kuondoka duniani alinikanya nisijaribu kumpiga mwanamke atakayekuwa mke wangu nadhani aliona maono ,kwani baba yake alikuwa mpigaji mzuri wa mkewe
Nikaomba kimoyomoyo abarikiwe marehemu mama mkwe popote alipo.
Ila sasa sijajua angenichapa hicho kibao ni hatua gani ingefatia muda huo
 
kama bado nitakuwa naipenda hiyo ndoa nitafanya maarifa, "kwasasa sishike mimba na cjui kwanini"...nikiwa tayri na mambo yangu najiachia nishike, hapo ni kama bado naipenda, kama ipo ipo tu kama nyanya za nyongeza na ninaona watoto nilionao wananitosheleza kwanini mtu anilazomishe? hapo nitaangalia njia mbadala...ikiwezekana na yeye abebe, swala la watoto ni la kujadili pa1, halina baba kaamua wala mama kaamua.

Hivi dada,

Hapa tuongelea ndoa za dot.com tu au hata zile za kwetu bara? Hizi za kwenu mimi ziziongelei.

Ila kule kwetu, amri ya baba ni zaidi ya hisani ya Watu wa Marekani. Kwa hiyo tusijilinganishe na hao dada zetu. Badala yake tutafute jinsi ya kuwasaidia
 
Back
Top Bottom