Nyamayao
JF-Expert Member
- Jan 22, 2009
- 6,966
- 2,357
I thought nyie ni dada na kaka.....:confused2::confused2::confused2::confused2:
mezea na wewe khaaa,mpaka ush2e kial mtu?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
I thought nyie ni dada na kaka.....:confused2::confused2::confused2::confused2:
Kweli?
halafu cjui kwanini wengi wao huwa wanazaa sana, yani mpaka unajiuliza huyu ana matatizo hivi kila kukicha kuzaa ya nini jamani, wawili wangemtosha kabisa.
kama umeshawahi kwenda musoma, au umebahatika kuona maisha ya ndoa ya watu wa huko, ungejuta kusema Say NO To Kipondo!kule mwanamke anafurahia kipondo, kwani asipopigwa muda mrefu anaona kuwa manaume ameshapata nyumba ndogo na penzi kwake kwishney!upo hapo Nyamayao?
Utalia?
Utamrudishia?
Utamkiss ?
Utamwambia i love u
Hutaongea nae 1 day , 1week ,month or a year,
Utaachana nae /:couch2:
have great weekend !
NB: nauliza tu..... Wanaume mnaruhusiwa kuweka maoni yenu
Aalaah!! anipige kwani nimekuwa ngoma!! namtemea mate usoni halafu ndo mwisho wa uhusiano:hand::hand:
in any kind of life, kupigana regardless of jinsia yako, ni ujinga wa kijinga kutoka kwenye mawazo yamjinga
cha maana ni kuavoid confrontations
hahahahaha Maria Roza mwenzio nimejikuta naangua kicheko hili jibu dahh vip mipangilio ya w/kend?
nipo...sasa hizo ni mila zao, wanazikubali na wanazifurahia, marangu kwetu hatuna hizo mila, nadhani na usukumani hawana pia, ndio mana nitashangaa cku yakitokea hayo...
Ndoa zingine maamuzi ya kuzaa watoto wangapi yako kwa baba, we mama ni kupokea mimba tu kwenda mbele na usithubutu kuuliza!
FL1,
Nimepata wasi wasi sana na michango ya wadau. Labda uombe mod watuwekee kura ya maoni ili tupige kura, tuweze kujua ni wangapi walishawai kulabua au kulabuliwa.
Halafu kumetokea mkanganyiko kati ya kulabu kibao kimoja au viwili, na kile kipigo cha mbwa mwizi.
Naungana na Funzadume, Fidel et al. kwamba kujikuta umerusha mkono mara moja au mbili kwa wale ambao tuko kwenye hizi biashara kwa zaidi ya miaka 10 siyo ajabu kabisa. Jamani acheni utani na maneno ya dada zatu hawa. Tunawapenda sana ila naona Mungu alifanya miscalculation kwenye upande wa kurusha maneno!
Ngoja niishie hapa kwanza.
Naona wadada wote wa JF ni wabarikiwa,... hawajawahi kulambwa kibao hata mara moja. Mshukuruni Mungu sana.
DC
Aalaah!! anipige kwani nimekuwa ngoma!! namtemea mate usoni halafu ndo mwisho wa uhusiano:hand::hand:
kama bado nitakuwa naipenda hiyo ndoa nitafanya maarifa, "kwasasa sishike mimba na cjui kwanini"...nikiwa tayri na mambo yangu najiachia nishike, hapo ni kama bado naipenda, kama ipo ipo tu kama nyanya za nyongeza na ninaona watoto nilionao wananitosheleza kwanini mtu anilazomishe? hapo nitaangalia njia mbadala...ikiwezekana na yeye abebe, swala la watoto ni la kujadili pa1, halina baba kaamua wala mama kaamua.
Mama wa kwanza wknd kama kawa karibu wine ya Santa Anna :tonguez::tonguez:
hahahahaha ntanuna sana
kwa kweli mie haya mambo ya kulabuana nayachukia sana, cku atakayojaribu ndio nitajua anastahili adhabu gani...
mezea na wewe khaaa,mpaka ush2e kial mtu?
Nitumie bathi kwa njia ya posta shost ..umenitamanisha hii kinywaji ...