4 The Ladies,if your BF/Husband Slaps U Whats your Best Reaction?

4 The Ladies,if your BF/Husband Slaps U Whats your Best Reaction?

naskia geoff atakua rg leo... natamani ningekua dar aisee

Kashanitwangia hapa...atakuwa na mwanakondoo the finest pale>>>>>>>>> nawakamata pale shortly!!
 
Nimemuuliza mtu akanambia yeye atamkiss na kumwambia I love u ,eti next tym jamaa hatarudia kufanya hivyo na kujiuliza kwa nini nimewasha kibao akanambia i love u

naona hao wameamua kucheza na saikolojia.it can work.
 
FL1,

Nimepata wasi wasi sana na michango ya wadau. Labda uombe mod watuwekee kura ya maoni ili tupige kura, tuweze kujua ni wangapi walishawai kulabua au kulabuliwa.

Halafu kumetokea mkanganyiko kati ya kulabu kibao kimoja au viwili, na kile kipigo cha mbwa mwizi.

Naungana na Funzadume, Fidel et al. kwamba kujikuta umerusha mkono mara moja au mbili kwa wale ambao tuko kwenye hizi biashara kwa zaidi ya miaka 10 siyo ajabu kabisa. Jamani acheni utani na maneno ya dada zatu hawa. Tunawapenda sana ila naona Mungu alifanya miscalculation kwenye upande wa kurusha maneno!

Ngoja niishie hapa kwanza.

Naona wadada wote wa JF ni wabarikiwa,... hawajawahi kulambwa kibao hata mara moja. Mshukuruni Mungu sana.

DC
Hapa tuna-swing katika frekuensi moja kaka. Nakukubali sana kwenye suala zima la mahusiano
 
kwa nini anipige kofi wkt kila siku anasema ananipenda,lazima nilie sana kwa uchungu.

Kwani wewe ukimtukana matusi machafu machafu unakuwa humpendi. Mfano mtu anakwambia kuwa...watu wangine sijui mkoje, unafanya vitu utdhani nyani katoka porini leo. Unategemea nini hapo na endapo labda dada kakulia mjini na muzee ndo katokea kule Unyantuzu?

Yapo mambo mengi sana na vigumu kukubaliana labda kama wote tungekuwa tumeoa mke mmoja au wanawake wote wameolewa na mwanamume mmoja. Hata hapo kutakuwa na preferential treatment.
 
Utalia?
Utamrudishia?
Utamkiss ?
Utamwambia i love u
Hutaongea nae 1 day , 1week ,month or a year,
Utaachana nae /:couch2:
have great weekend !

NB: nauliza tu..... Wanaume mnaruhusiwa kuweka maoni yenu
i will tell him "if that gives u a relief its ok wit me"
 
Hapa tuna-swing katika frekuensi moja kaka. Nakukubali sana kwenye suala zima la mahusiano

Poa mkuu wangu. Unajua experience ni mwalimu asiyelinganishwa na yoyote. Nimeona na wanaume wanaopiga wake zao, tene kupiga haswa utadhani ni mashindano ya ngumi (akiwemo dingi yangu). Na pia nimejaribu kuishi maisha ya kutopiga mke wangu. Tofauti naijua.

Haya mambo tunaweza kuongea hadi kesho ila the bottom line ni kuwa kila mtu asubiri zamu yake. Na yule ambaye amebahatika amshukuru Mungu. Asijekuona kama waliokosa hayo maisha mazuri wana laana.

Ndo maana wale jamaa wa Segere wanaishia kusema kuwa... Usionione mzembe, kupata ni majaliwa... Ndevu kakosa ng'ombe lakini mbuzi kapewa. ...Surely, ...The Gods Must be Crazy!
 
Back
Top Bottom