40 ya Sandra - Mtoto wa Diamond (Kuna Wanaume Soda zao hazina Gesi)

40 ya Sandra - Mtoto wa Diamond (Kuna Wanaume Soda zao hazina Gesi)

Nipo Kiwanja kimoja hapa mtaani naona wamesema Wasafi TV wanashuhudia tukio la 40 ya Sandrah mtoto wa Diamond

Kuna jambo nimekuona siyo la kawaida, jukwaani yupo Mzee Yusuph na Zuchu wanaimba Taarab kwa kupokezana lakini wachezaji wa hiyo Taarabu ni midumw yenye ndevu zao, napata mashaka Sana kama Hawa Wanaume wenzetu wa Darisilamu kama Wana marinda.

Wengi ninaowaona Hawa Wanaume wanacheza kwa style ya vidole juu kama wanawake kweli Darisalamu baada ya Mwaka Mmoja tutashuhudia mengi kama una mtoto wa kiume na yupo Dar hebu kuwa nae makini unaweza Kuta Hana Marinda.

Siyo kwa hiki ninachokiona
Inasiktisha sana.

Mimi nikimuona mwanamme anasikiliza taarab huwa namuangalia mara tatu tatu kama exhaust ipo sawa au imetoboka.
 
Inasiktisha sana.

Mimi nikimuona mwanamme anasikiliza taarab huwa namuangalia mara tatu tatu kama exhaust ipo sawa au imetoboka.

Naona Baby Zembwela kama MC aliamua kujiweka pembeni kabisa na mambo yao...hakutaka kabisa hata kuvaa hiyo kanzu

Adela nae nimemuona hakutaka kabisa kuvaa Madera na vijora, aisee Hawa watangazaji wapewe maua yao naona wanajiheshimu sana

Hata Adela hakutaka kabisa kucheza hizo nyimbo za Taarabu
 
Back
Top Bottom