King Kong III
Platinum Member
- Oct 15, 2010
- 64,227
- 98,761
Inasiktisha sana.Nipo Kiwanja kimoja hapa mtaani naona wamesema Wasafi TV wanashuhudia tukio la 40 ya Sandrah mtoto wa Diamond
Kuna jambo nimekuona siyo la kawaida, jukwaani yupo Mzee Yusuph na Zuchu wanaimba Taarab kwa kupokezana lakini wachezaji wa hiyo Taarabu ni midumw yenye ndevu zao, napata mashaka Sana kama Hawa Wanaume wenzetu wa Darisilamu kama Wana marinda.
Wengi ninaowaona Hawa Wanaume wanacheza kwa style ya vidole juu kama wanawake kweli Darisalamu baada ya Mwaka Mmoja tutashuhudia mengi kama una mtoto wa kiume na yupo Dar hebu kuwa nae makini unaweza Kuta Hana Marinda.
Siyo kwa hiki ninachokiona
Hivi hii kitu ni kweli eeh? Kuna jamaa inasemekana ana hayo mambo. Jana nimemuona amevaa kanzu na sio muislamu. Sasa hii comment yako imenitafakarisha kidogohili vazi mashoga wanalitumia kama dera kwao
ndio vazi la walefti group siku hzHivi vazi la kanzu kumbe unaweza ukacheza nalo mduara na kidole juu ukanyoosha
hahahahaha, unahisi ni UONGO we fuatilia waleft group wengi awe muislam au si muislam, wanavaa sana kanzuHivi hii kitu ni kweli eeh? Kuna jamaa inasemekana ana hayo mambo. Jana nimemuona amevaa kanzu na sio muislamu. Sasa hii comment yako imenitafakarisha kidogo
Kiwanda kile sasa waguse uone 😄hahahahaha, unahisi ni UONGO we fuatilia waleft group wengi awe muislam au si muislam, wanavaa sana kanzu
Hata yeye anaweza kua washa mvunja kuna vitu anafanya mwanaume huwezi fanya
Mnatoa wapi muda na energy ya kuangalia hayo madudu?
Inasiktisha sana.
Mimi nikimuona mwanamme anasikiliza taarab huwa namuangalia mara tatu tatu kama exhaust ipo sawa au imetoboka.
Aisee mnapata wapi muda wa kuangalia Ivo Vitu vya 40 ya mtoto aisee?
Alikua edaNoel safari hii naona wamemficha
Hata Mwakinyo? Kuna video niliona anapiga tizi huku akipumzika anacheza taarabu nikasema labda mambo ya kitangaInasiktisha sana.
Mimi nikimuona mwanamme anasikiliza taarab huwa namuangalia mara tatu tatu kama exhaust ipo sawa au imetoboka.
Kwani haujawahi kumsikia Mboso aliimba , WENGINE WABEBA VYUMA LAKINI HAWANA MARINDA.Hata Mwakinyo? Kuna video niliona anapiga tizi huku akipumzika anacheza taarabu nikasema labda mambo ya kitanga