50 People Who Are Screwing Up Tanzania

Status
Not open for further replies.
Mbona kiongozi wao anaowafadhili au ambaye hawachukulii hatua kwa niaba yetu sisi wanyonge hukumtaja? Au ndio nambari wani kuwafanya hawa 49 kutimia hamsini?
 

Mbona umemwacha Jakaya Kikwete na Mwinyi ila umemweka Mkapa? Ajabu kweli?
 
Mbona kiongozi wao anaowafadhili au ambaye hawachukulii hatua kwa niaba yetu sisi wanyonge hukumtaja? Au ndio nambari wani kuwafanya hawa 49 kutimia hamsini?

Kilasara kwani hujui kinachoendelea hapa JF? Kuna kampeni ya kumlaumu kila mtu mwingine isipokuwa Kikwete. Title ya heading inaongelea watu ambao wana fanya screwing kwa Tanzania (ing inamaanisha tensi inayoendelea). Sasa jiulize, Mkapa anaendeleaje kuiscrew Tanzania hadi leo hii?
 
Nawaongeza
1. Ali Hassani Mwinyi
2. Dr Mwinyi ( waziri wa ulinzi)
3. John Samwel Malecela
4. Dr Dau wa NSSF
4. Waziri wa fedha wa sasa
 

Mimi nijuavyo ALEX MASSAWE ni JAMBAZI wa siku nyingi siyo FISADI
 
Namuunga mkono son of Alaska kwamba watanzania tuwe namba 1 kwenye order kwa sababu sisi watanzania ndo tunaong'ang'ania viongozi wabovu. Kazi kwetu 2010
 
Sijui inatumika vigezo gani?, lakini list kama hii yaweza tumika kuchafuana ama kuchafua hata wale wasiokuwepo.

Kati ya hao walioorodheshwa hebu toa jina/majina ya ambaye unaona anachafuliwa bila sababu!
 
Andy Chande who bought his Knighthood from the British Government is the biggest fisadi.
He is the one who behind the mask of 'patriotism'is the king maker in many of the deals in Tanzania and is a FREEMASON as well.
The whole TANZANIA RAILAWAY contract by Indians smacks of corruption and the proof is in the pudding.
He has made a lot of money in shady dealings and is renowned for his corrupting element.
Ironically he does not know Kiswahili and can hardly speak in kiswahili..
these are the people ho ruin our country..................
Go google andy chande and u will come across many things about him.
His son donated 5 miullion pounds to LABOUR PARTY to get a knighthood for andy chande..........WHOM CAN U TRUST IN TANZANIA
 
Nadhani line iwe kama hivi
Number one ni VIJANA wa Tanzania tunakoroma huku tukirisishwa nchi mifupa.

Number two maraisi walioshika nchi most of the walikua na plan ya kuwa maraisi lakini hawana(hawakuna) na vision wapi kuipeleka nchi.

number three individual how to my believe they don't love this country.hao uliowataja hapo juu.
wakubeba lawama ni VIJANA and Maraisi.
 

Hiyo namba 32 hapo juu imewekwa kimakosa au sawa sawa nijuavyo mimi sio Ringo Advocates waliotufisadi ila waliotuhujumu na kutunga mikataba yote ya kifisadi ni Law Associates ya Dr. Tenga waliopitunga mikataba ya IPTL,Richmonds,Dowans and the like na bila kuwasahau IMMMA Advocates ya kina Masha,Mujulizi,Magai na Ishengoma waliotuletea Deep Green Finance.
 

50. Reginald mengi
51. Samwel sitta
52. Iddi simba
 
MIMI NADHANI HAKUNA HAJA YA KUWATAJA WOTE HAMSINI..........HII NI KWA SABABU HAO WOTE JK ANAWEZA KUWACHUKULIA HATUA........... HIVYO MAKOSA YAO YANABEBWA NA JK. Kwa hiyo hii list ingetaja jina moja tu JK
 
Kwenye list hii tujiongeze na sisi wasomi wa Kitanzania ambao kwa kweli tumeshindwa kabisa kusogeza nchi mbele. Kwa mfano wasomi na watanzania wengineo wenye ufahamu wangapi wameanzisha makampuni ya kuzalisha mali na kuajiri watanzania wenzao? Waliopo serikalini ndo hao wanaandika mikataba ya kuifilisi nchi. Waliopo nje hawafikirii kuijenga nchi yao kwa kuleta hayo wanayofahamu huku, hata kwa kuiba, mpaka wahongwe kwa "dual citizenship". Tulio wengi nafikiri bado hatujitambui. Tunahitaji kutambua tuko wapi na tunakwenda wapi. Uzalendo, ushirikiano (sharing), ni mdogo sana. kila mmoja amelenga kuganga njaa yake. Msomi atafikiriaje kuipeleka mbele Tanzania wakati wazo kuu ni kuganga njaa yake?

Kwa hiyo sishangai kuona mnaweka list hii kwa vile ni subset ya Watanzania, kwa maana kwamba Watanzania ndivyo tulivyo. Hivyo nasi tunaoandika humu tukubali kwamba nasi tumo kwenye list hiyo! Wala sisemi hivyo kwa sababu nawatetea waliomo kwenye list!

MtuKwao
 
Nikisema wabaya watanzania hawatumii vizuri nguvu ya kura mtasema chama ndio kimewanyima elimu! basi mi sina comment.
 
Status
Not open for further replies.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…