MUME WANGU
Member
- Mar 25, 2009
- 24
- 0
Mbona Kingunge umemuorodhesha mara mbili, vipi uligombea tenda yakumiliki stand ya ubungo nini?..
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Username yako kui-quote inakuwa ngumu.Mbona Kingunge umemuorodhesha mara mbili, vipi uligombea tenda yakumiliki stand ya ubungo nini?..
Username yako kui-quote inakuwa ngumu.
Mie sijalala usingizi.....thank you very much!
Tukiweza kuweka list itapendeza kuwajua wabaya wa taifa letu (walau 50). Namaanisha wale wanaolifanya taifa letu liendelee kuishi katika hali duni na watu wake huku wakijinufaisha wao na wenzao wachache na wale wanaolichafua taifa mbele za mataifa jirani na kuharibu mitizamo (vision) kwa ajili ya watoto wetu na vizazi vijavyo.
Tunaweza kuwataja bila uonevu?
Mkuu,mnapowaweka mtuambie pia wamefanya nini, kuna baadhi hapo leo ndio nawasikia mara ya kwanza, tuhuma zao nini? mfano Peter Noni ndio nani? Na huyo Eric Shigongo kafanya nini cha ufisadi zaidi ya kuuza udaku kwenye vijigazeti vyake vya KIU na Uwazi, au ni zile hadithi zake feki ndio zinafanya aitwe fisadi? Vincent Mrisho na Maria Kejo ni kina nani hawa na wamefanya nini? na Chiligati kafanyani?
number one should be sisi wananchi,ambao many years baada ya kukabidhiwa baton la independence bado tumelala usingizi
Baada ya Invisible kuweka kitabu cha "100 People Who Are Screwing Up America" nimekuja kugundua kuwa watu wengi walitaka tuwe na list ya walau watu 50 wanaoivuruga nchi.
Tukiweza kuweka list itapendeza kuwajua wabaya wa taifa letu (walau 50). Namaanisha wale wanaolifanya taifa letu liendelee kuishi katika hali duni na watu wake huku wakijinufaisha wao na wenzao wachache na wale wanaolichafua taifa mbele za mataifa jirani na kuharibu mitizamo (vision) kwa ajili ya watoto wetu na vizazi vijavyo.
Tunaweza kuwataja bila uonevu?
Tiyari wafuatao walishaanza kutajwa:
Tuendeleze list
- Rostam Azziz
- Edward Lowassa
- Andrew Chenge
- Idris Rashid,
- Nazir Karamagi,
- Gray Mgonja,
- Basil Mramba,
- Daniel Yona,
- Peter Noni,
- Nimrod Mkono,
- Subash Patel
- Benjamin William Mkapa
- Yusuf Manji
- Anna Mkapa
- Jakaya Mrisho Kikwete
[/COLOR]