50 People Who Are Screwing Up Tanzania

50 People Who Are Screwing Up Tanzania

Status
Not open for further replies.
Mbona Kingunge umemuorodhesha mara mbili, vipi uligombea tenda yakumiliki stand ya ubungo nini?..
 
Mbona Kingunge umemuorodhesha mara mbili, vipi uligombea tenda yakumiliki stand ya ubungo nini?..
Username yako kui-quote inakuwa ngumu.

Nadhani iliwekwa kimakosa mkuu, kwa sasa naona imerekebishwa.
 
Kwanini mafisadi wengi wanakuwa na utata na uraia wao, je hawana uchungu na nchii hii au wanajua hata mambo yakiwa magumu watarudi kwao au hawana kitu cha ku loose au wana take advantage ya upole na ujinga wetu
 
Yaaani kwa hiyo watu wameshindwa kupata 7 more people 2 complete this list mimi naweza kukupa all these names fasta.... nikianzia na Alex Massawe....
 
Mbona yule mama aliyekuwa wizara nyeti ya utalii kisha akapelekwa wizara nyingine ya mafweza hayumo kwenye list? Mafisadi wakuu wa Tanzania hawatakamilika 50 bila jina lake. Au nasoma vibaya? Jina lake gumu kwangu kuandika, ni Z. M.

Mafisadi wa kike kumbe wamo wengi?
 
Mbona hamjamuweka mama lao yaani BADRA MASOUD wa TANESCO????
 
mnapowaweka mtuambie pia wamefanya nini, kuna baadhi hapo leo ndio nawasikia mara ya kwanza, tuhuma zao nini? mfano Peter Noni ndio nani? Na huyo Eric Shigongo kafanya nini cha ufisadi zaidi ya kuuza udaku kwenye vijigazeti vyake vya KIU na Uwazi, au ni zile hadithi zake feki ndio zinafanya aitwe fisadi? Vincent Mrisho na Maria Kejo ni kina nani hawa na wamefanya nini? na Chiligati kafanyani?
 
Tukiweza kuweka list itapendeza kuwajua wabaya wa taifa letu (walau 50). Namaanisha wale wanaolifanya taifa letu liendelee kuishi katika hali duni na watu wake huku wakijinufaisha wao na wenzao wachache na wale wanaolichafua taifa mbele za mataifa jirani na kuharibu mitizamo (vision) kwa ajili ya watoto wetu na vizazi vijavyo.

Tunaweza kuwataja bila uonevu?

Mkuu,

Peter Noni:

Director
Directorate of Strategic Planning and Performance Review
Bank of Tanzania

Maria Kejo:

2255.png

Director of Civil and International Law
Ministry of Justice & Constitutional Affairs
Dar es Salaam

&

Bomani Committee Member (2007-08) [Mining Review Committee]

Vincent Mrisho:

Prime Minister's Office
Permanent Secretary, Accounting Officer & Chief Executive

Mengine unaweza kujazia, angalia 1st post
 
Baada ya Invisible kuweka kitabu cha "100 People Who Are Screwing Up America" nimekuja kugundua kuwa watu wengi walitaka tuwe na list ya walau watu 50 wanaoivuruga nchi.

Tukiweza kuweka list itapendeza kuwajua wabaya wa taifa letu (walau 50). Namaanisha wale wanaolifanya taifa letu liendelee kuishi katika hali duni na watu wake huku wakijinufaisha wao na wenzao wachache na wale wanaolichafua taifa mbele za mataifa jirani na kuharibu mitizamo (vision) kwa ajili ya watoto wetu na vizazi vijavyo.

Tunaweza kuwataja bila uonevu?

Tiyari wafuatao walishaanza kutajwa:

  1. Rostam Azziz
  2. Edward Lowassa
  3. Andrew Chenge
  4. Idris Rashid,
  5. Nazir Karamagi,
  6. Gray Mgonja,
  7. Basil Mramba,
  8. Daniel Yona,
  9. Peter Noni,
  10. Nimrod Mkono,
  11. Subash Patel
  12. Benjamin William Mkapa
  13. Yusuf Manji
  14. Anna Mkapa
  15. Jakaya Mrisho Kikwete
    [/COLOR]
Tuendeleze list

Mtumishi Asanse saaana kwa orotha yako na huko namba 15 umepatia saaaana

Halafu nata tujue Rostam Aziz ni jitu baya saana pia kabila ya Bulushi huwa ni watu waba na roho mbaya

Sasa nauliza Sawali Tupate ufumbuzi wa kuwa fanya hawa ma bwana na 2010 wengine wapo
 
Jamani eeeh, kwa nini mnapenda sana kuharibu majina ya watu..
Huyu 35. Prof. Mkandara ndio nani?.
 
Moderator huyu Joseph Mungai ni mjomba wako nini mbona hutaki kumuorodhesha mtu anafahamika kuwa ni mwizi wakutupa hata alipokuwa waziri wa elimu alihusika na upotevu wa billioni 3 na ikabidi mtu afukuzwe kazi ili kufunika kombe!! huyu ni fisadi sana alikula magendo hata kumuuzia shamba Export trading kule mbarali!!
 
Mwaka 2010 Mafisadi wasichaguliwe.

Tuanze na wale waliogunduliwa na SFO, Richmond, na wale waliopelekwa Mahakamani. Lisemwalo lipo. Hata Kenya mwaka 2002 karibia mawaziri 20 na zaidi walimwagwa katika uchaguzi na wabunge kibao. Tuweke sura mpya bungeni, hasa vijana waje na mawazo mapya ua kuitoa Tanzania usingizini.
 
nearly 90% ya wabunge wa CCM hawatakiwi kurudi, kwa hiyo Chama Chao kwanza watusaidie kwa Hilo, then watakao penya wananchi wawashugulikie, hususana wale waliokwisha kama zaidi ya vipindi viwili vya ubunge, maana Hata Seleli, na Makele yake hamna kitu mwisho wa Siku naunga Mkono.
 
Wao wachungaji si ndo wanaoshirikiana nao? Wamlijazana kuzindua kikitabu cha Luwasa, Walipokea milion toka kwa RA na wao ndo waliotuambia tulilo nalo na chaguo la Mungu!!! Nitawaamini vipi?
 
Wanawanyosheya vidole wenziwao! wao wamesalimika? wanawarushia Mawe wazinzi, wao wenyewe wamesalimika?
 
sasa kama mafisadi wenyewe ni watoto wa Kanisa nao watajwe?

ama kweli tushaishiwa
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom