Kibanga Ampiga Mkoloni
JF-Expert Member
- Aug 9, 2007
- 18,772
- 8,939
Yaani tanzania ukishakuwa kiongozi tu tena ukiwa ccm ndio balaa wewe fisadi na majina yote mabaya ukiwa chadema wewe ni mzalendo mpigania haki ya wanyonge jemedari
Ni vuzuri kujua those screwing up Tanzania, lakini we have to do with a very great care my brothers and sisters.
Tunatakiwa kujua vigezo amabavyo vimetumika kuwaanisha hao watu 50 kati ya watu million 40 Tanzania.Maana bila kuweka vigezo itakuwa tunajadili majungu tu hapa na naamini kujadidili majungu hayataweza kutufikisha popote, ukizingitia kuwa This is the home of Great Thinkers.So Mtumishi Tunahitaji uweke hapa vigezo vyako ili tuweza kujadili hii maada kwa uwazi na bila kumuonea mtu yeyote.Tanzania itajengwa na watu wenye fikra pevu na wala siyo watu wanaopenda mambo mepesi mepesi na majungu.
mkuu wa tume ya uchaguzi, Mkurugenzi mkuu wa makosa ya jinai,
Jaji mkuu ( kwa maana ya kuruhusu hukumu za kijinga kijinga kupitishwa hapo )
Adam Kimbisa
Baada ya Invisible kuweka kitabu cha "100 People Who Are Screwing Up America" nimekuja kugundua kuwa watu wengi walitaka tuwe na list ya walau watu 50 wanaoivuruga nchi.
Tukiweza kuweka list itapendeza kuwajua wabaya wa taifa letu (walau 50). Namaanisha wale wanaolifanya taifa letu liendelee kuishi katika hali duni na watu wake huku wakijinufaisha wao na wenzao wachache na wale wanaolichafua taifa mbele za mataifa jirani na kuharibu mitizamo (vision) kwa ajili ya watoto wetu na vizazi vijavyo.
Tunaweza kuwataja bila uonevu?
Tiyari wafuatao walishaanza kutajwa:
Tuendeleze list
- Rostam Azziz
- Edward Lowassa
- Andrew Chenge
- Idris Rashid,
- Nazir Karamagi,
- Gray Mgonja,
- Basil Mramba,
- Daniel Yona,
- Peter Noni,
- Nimrod Mkono,
- Subash Patel
- Yusuf Manji
- Anna Mkapa
- Johson Lukaza
- Vincent Mrisho
- Frederick Sumaye
- Omari Mahita
- Jeetu Patel
- Sir Andy Chande
- Amatus Liyumba
- Emmanuel Nchimbi
- Shailesh Vithlani
- Tanil Somaiya
- Eric Shigongo
- Patrick Rutabanzibwa
- Felix Mrema (Arusha)
- Laurence Masha
- David Mattaka
- Kingunge Ngombare Mwiru
- Mark Manji & Sadiki Muze (hawa wamepelekea ATCL kufikia ICU)
- Malegesi Advocates
- Ringo Advocates
- Cleopa David Msuya
- Prof. Mkandara (UDSM)
- Maria Kejo
- Apson Mwang'onda
- Dr Edward Hosea - PCCB
- Ferdinand Ruhinda
- George Lauwo (TRA Customs)
- Cpt. John Chiligati
- Costa Mahalu
- James Sinclair
- Pius Msekwa
- Alex Massawe
- Zakhia Meghji
- Joseph Mungai
- Abdallah Kigoda
- Yusufu Makamba
- Chrisant Majiyatanga Mzindakaya
NOTE: Marais wote kuanzia Mwalimu Nyerere pamoja na raia wote tunahusika kwa namna moja ama nyingine.
Katika hao wangapi wako jela? na kama mahakama haijasema ni guilty unaanzia kusema hivi kwa vigezo vipi? wananchi wakiwachagua mmoja ya hao watu, je mtaandika list ya jimbo zima la uchaguzi?
Sawa, nimekubali, na update list yangu
Well, nimewaweka "watanzania" kwa ujumla wao kuwa ndicho chanzo nambari moja cha matatizo ya taifa letu
sijui inatumika vigezo gani?, lakini list kama hii yaweza tumika kuchafuana ama kuchafua hata wale wasiokuwepo.
polycarp kadinary pengoduuuh! Zitto hapana wakuu, hawa ni kwa dowans tu. Au mnasemaje wakuu?