50 People Who Are Screwing Up Tanzania

Status
Not open for further replies.

Mzindakaya je? Kapuya je?
 
Mimi ningeiorodhesha kwa makundi makubwa yafuatayo:
1. Viongozi wote wa CCM ukimwondoa MWALIMU na SOKOINE;
2. Viongozi wote SERIKALI ya CCM;
3. Viongozi wote wa TAASISI za UMMA tangu UHURU;
4. Wafanyabiashara wakubwa wote wa NCHI hii ambao hakuna hata mmoja anayeweza kukueleza utajiri wake kaupataje.
 
kuna hawa watu wanatuchanganya vichwa kila kukicha:
Mrema, Mtikila, Mbatia, Lipumba wako wengi mapandikizi
sio wa kuwaachia
 


Mataka---------ATCL, Huyu jamaa wa kupiga risasi
 
Number one in order of gravity should be Jakaya Mrisho Kikwete
I agree ten fold. How can he not be on this list. With his extravagant trips and lack of action towards the corrupt. He is corrupt.😕
 
Hii list inaweza ikawa na ill-motives. Mtu anaweza kutaja apendavyo ilimradi jina fulani analifahamu au ni maarufu. Ili kuwa objective unavyomtaja mtu, weka angalu dokezo la tatizo lake na liwe na nguve au maana, isiwe maneno ya udaka kama ya magazeti ya...
 
Katika hiyo List waongezwe
1. Kingunge Ngombale Mwiru( Mrs Kingunge / Kinjekitile)
2. Ramadhani Dau
3. Mustafa Mkulo
 
Ole wao siku yao yaja hakika watalia na kusaga meno! hayati Mwalimu Nyerere aliwahi kuwaonya viongozi juu ya kutenda mabaya kwa wananchi akiwaambia kuwa siku tukifa wajukuu zetu watacheza na kukojoa juu ya makaburi yetu! maana hawatakuwa na la kujivunia juu yetu! na kwa hii orodha hakika hakuna hata chembe ya kujivunia!
 
duh hii list ni very interesting, lakini naamini wapo zaidi ya 50, kwahiyo wasemwe tu na tuanze kuwapanga kwa ranks, ni muhimu sana kuwapanga kwa order maalum, kumuweka mkapa kule chini sio halali...Mkapa, RA,EL,JK.....

na pia lazima tujue kwamba hii list sio ya wanasiasa tu, ni watu wanaofanya nchi na wananchi haviendelei....naungana na mjumbe kama wakiwa wengi tuweke categories..politics, Social,...
 

Wengine ongezeni list
 
Nashangaa kwenye hii listi haonekani Chrisant Majiyatanga Mzindakaya, fisadi mkubwa - wengi ni wanafunzi wake kwenye Chuo Cha Mafisadi. Hawa utawatambua kirahisi kwa jinsi wanavyopigia kelele uozo huku wamezama kwenye uozo hasa bungeni - wakilambishwa peremende, kimyaaa..........
 
Mi naona sisi Watz ndio no:1 kwa kuwa tunaendelea kuchagua ccm ambayo mfumo wa uongozi wote ulishakufa hakuna hatapatikana mwadilifu yeyote ndani ya chama hiki kikongwe na goigoi anayeweza kumwajibisha mwenzake,hata hivyo huwezi kuwaweka Rostamu Aziz na Edward Lowasa alafu asiwemo Jakaya Kikwete maana hawawezi kufanya biashara yoyote bila kumshirikisha, JK is no:2.
 
Status
Not open for further replies.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…