50 People Who Are Screwing Up Tanzania

50 People Who Are Screwing Up Tanzania

Status
Not open for further replies.
Wewe unayewasema wenzako ulichokifanya nini.Naomba tueleze kabla ya kuwajadili hao uliowataja.Wewe kipato chako ni kiasi gani na umepata kwa njia gani.Umejaribu kusaidia taifa ukashindwa au hukujaribu kabisa.Utakapojibu hayo maswali ,utapata majibu ya jinsi gani kuisaidia Tanzania.Kama hunajibu achana na majungu and zip ur stinking big mouth
 
Ahhhh Shhhhhhhh Mhhhhh yale yale kaazi kwelikweli.
Wana macho hawaoni, wanamasikio hawasikii, wanamiguu hawakimbii, wana mikono hawaitumii na mbaya zaidi wana1500 cc ya graymatter hawatumii hata chembe ya haradali, hili nalo neno!!!
 
Baada ya Invisible kuweka kitabu cha "100 People Who Are Screwing Up America" nimekuja kugundua kuwa watu wengi walitaka tuwe na list ya walau watu 50 wanaoivuruga nchi.

Tukiweza kuweka list itapendeza kuwajua wabaya wa taifa letu (walau 50). Namaanisha wale wanaolifanya taifa letu liendelee kuishi katika hali duni na watu wake huku wakijinufaisha wao na wenzao wachache na wale wanaolichafua taifa mbele za mataifa jirani na kuharibu mitizamo (vision) kwa ajili ya watoto wetu na vizazi vijavyo.

Tunaweza kuwataja bila uonevu?

Tiyari wafuatao walishaanza kutajwa:

  1. Rostam Azziz
  2. Edward Lowassa
  3. Andrew Chenge
  4. Idris Rashid,
  5. Nazir Karamagi,
  6. Gray Mgonja,
  7. Basil Mramba,
  8. Daniel Yona,
  9. Peter Noni,
  10. Nimrod Mkono,
  11. Subash Patel
  12. Yusuf Manji
  13. Anna Mkapa
  14. Johson Lukaza
  15. Vincent Mrisho
  16. Frederick Sumaye
  17. Omari Mahita
  18. Jeetu Patel
  19. Sir Andy Chande
  20. Amatus Liyumba
  21. Emmanuel Nchimbi
  22. Shailesh Vithlani
  23. Tanil Somaiya
  24. Eric Shigongo
  25. Patrick Rutabanzibwa
  26. Felix Mrema (Arusha)
  27. Laurence Masha
  28. David Mattaka
  29. Kingunge Ngombare Mwiru
  30. Mark Manji & Sadiki Muze (hawa wamepelekea ATCL kufikia ICU)
  31. Malegesi Advocates
  32. Ringo Advocates
  33. Cleopa David Msuya
  34. Prof. Mkandara (UDSM)
  35. Maria Kejo
  36. Apson Mwang'onda
  37. Dr Edward Hosea - PCCB
  38. Ferdinand Ruhinda
  39. George Lauwo (TRA Customs)
  40. Cpt. John Chiligati
  41. Costa Mahalu
  42. James Sinclair
  43. Pius Msekwa
  44. Alex Massawe
  45. Zakhia Meghji
  46. Joseph Mungai
  47. Abdallah Kigoda
  48. Yusufu Makamba
  49. Chrisant Majiyatanga Mzindakaya
Tuendeleze list

NOTE: Marais wote kuanzia Mwalimu Nyerere pamoja na raia wote tunahusika kwa namna moja ama nyingine.

Wapo arobaini na tisa hapo. And no 1 should be mkuu wa kaya to make up 50
 
Cha kufurahisha zaidi hawa ni wana CCM hai na ndiyo wapiganaji wakubwa wa CCM - Ushindi.

Kulishughulikia kundi hili ni sawa na kusema unataka kuishughulikia serikali na system yake nzima, si kazi ndogo, na hili kundi linajua endapo CCM itaangushwa basi itakuwa gharika na ndiyo maana lipo tayari kutumia kila resorces available pamoja na pesa ili CCM ibakie madarakani

Kinachonifurahisha zaidi ni kwamba wengi wa hawa jamaa wamekulia katika Ujamaa kwa kweli - enzi za Mwalimu na baadhi yao hata wamefundishwa darasani na mwalimu - ila wamegeuka na kuwa na tamaa za ajabu za kujilimbilizia mali bila sababu za msingi.

Kwenye hiyo list sidhani kuna mtu ana kiasi pingufu ya 500m, wachache sana, wengi wao ni ma billionea, sasa jiulize mtu huyu kafanya kazi serikalini miaka 35, unganisha mishahara yote, marupurupu je anapataje 10b?

Kazi kwetu sisi watanzania 40m kuamua kupitia sanduku la kura - kama hatuwezi kuwaondoa basi tuache kulalamika - tuwaache waendelee kula mali ya nchi hii maana nao ni watanzania ila ni wajanja kutuzidi.
 
Ukweli waliotufikisha hapa si mtu mmoja au 50 au 100....tutakuwa wanafiki kuwataja baadhi na kuwaacha baadhi...Mie nasema ni system nzima, nikimaanisha viongozi wetu tuliowapa zamana tokea TANU & ASP mpk CCM!!
 
Yaani nakupongeza sana kwa hii list, tufike wakati tuseme ukweli watu wametishwa mpaka wanaogopa kukohoa nakubaliana kwamba namba one adui wa nchi yetu ni JK,.

Mimi sikubaliani na huyu anayesema vijana wote wasomi watanzania wataje, maana ukituingiza na sisi unatuonea, tutaanzia wapi wakati tumezibwa kila pembe, hata ukiwa na wazo zuri la biashara hupati hela hizo benki zinapendeza tu lakini hazina program ya local empowerement, hata ukiwa na collateral lazima uwe na biashara isiyohitaji startup ama sivyo hela wanayotaka kama cushion ungekua nayo usingetaka mkopo.


Huyo JK kakalia huko jikoni hata hajui kinachoendelea, noni yuko pale do you need to have brains kuona kwamba ni upumbavu? look at kumchagua meghji awe fund raising committee chairperson who the heck is he trying to fool kama sio yeye mwenyewe, what is the diff between meghji na RA,. shit! hawawezi na wanamjua kwamba hawawezi and let them deal with him squarely.

Nakubaliana kwamba Mengi hastahili kuwemo kwenye list hiyo wala Iddi Simba but Sita.
 
Wewe unayewasema wenzako ulichokifanya nini.Naomba tueleze kabla ya kuwajadili hao uliowataja.Wewe kipato chako ni kiasi gani na umepata kwa njia gani.Umejaribu kusaidia taifa ukashindwa au hukujaribu kabisa.Utakapojibu hayo maswali ,utapata majibu ya jinsi gani kuisaidia Tanzania.Kama hunajibu achana na majungu and zip ur stinking big mouth

Well, you obviously have taken this as a personal insult rather than a part of a frank conversation. Which, I think is part of the problem - denial.

Kama nilivyosema, Hao hamsini ni subset ya watanzania na labda ingekuwa vizuri wote tukaanza kujiuliza maswali mengi zaidi badala ya kunyoosha kidole tu.

Kimsingi huo ndo ulikuwa mchango wangu. Matusi hayajasaidia kitu kwenye huu mjadala!

MtuKwao
 
Ali Hassan Mwinyi......ka ovyo sana haka kazee kalifuta Zimio la Arusha then kajishaua!
 
Well, you obviously have taken this as a personal insult rather than a part of a frank conversation. Which, I think is part of the problem - denial.

Kama nilivyosema, Hao hamsini ni subset ya watanzania na labda ingekuwa vizuri wote tukaanza kujiuliza maswali mengi zaidi badala ya kunyoosha kidole tu.

Kimsingi huo ndo ulikuwa mchango wangu. Matusi hayajasaidia kitu kwenye huu mjadala!

MtuKwao

I agree! Anyone can say whatever he/she think is right at that moment and entitled to. Na ndio sababu kuna critics and supporters/followers. Mada imetolewa, criticise mada/changia mada na sio kumshambulia mtu!Ukweli unabaki pale pale kuwa HAIWEZEKANI WATU HAO HAO WATAJWE KWENYE KILA SCANDAL INAYOIHUSU NCHI HII - SOMETHING IS ABSOLUTELY WRONG SOMEWHERE NA SIO PERSONAL ATTACKS.
 
Cha msingi unatakiwa mzee uelewe waliotufikisha hapa pabaya usiangalie wezi tu, kuna waliosababisha hasara kubwa kwa nchi bila kuiba either kwa ufinyu wa uwezo wao au ubishi pia ni kundi moja.

Kwa mfano mwinyi alipoleta uchumi holela, alipovunja system ya elimu na kufanya wafanyiabashara wawe juu kuliko wasomi hadi kusoma kukaonekana hakuna maana, familia ya Janguo na ubadhirifu bandarini, Gilman Rutihinda aliyeshusha thamani ya shilingi enzi za Mwinyi, Kikwete anayechapisha pesa ovyo hadi thamani ya shilingi inashuka na mfumuko wa bei unapanda, hawa hawana tuhuma za wazi za kuiba ila matendo yao yamewafikisha wananchi pabaya!
 
kweli hao wote na watoto zao .....wamekula nchi sana.....tuwafunike wasionekana...
 
Well Am standing to be corrected, mimi nafikiri hatuna sababu ya kuwalaumu na kuwanyooshea vidole hao 50 hata wakiwa 100!

Bado nilazima tujiulize bila sisi hao 50 na hata wangapi sijui wangetufikisha hapa, maana ni sisi hawahawa tuliowachagua na tunaendelea kuwachagua wawe viongozi wetu. Nafikiri imefikia wakati sasa watanzania tujue wajibu wetu wa kuwawajibisha hawa viongozi, tumeisha ona kupitia wabunge wetu hatuna nguvu ya kuwawajibisha hawa jamaa wakiwa madarakani!

Let us come out and shout for our rights now! We need new constitution not amended constitution! na haki zingine. Uwezo wakuleta mabadiliko tunao kama tukitaka. Hili kundi la viongozi (Cultz) mimi nalifananisha na Nyani wakubwa usually they feed on the ripe fruits on top of the tree, and drops the left overs to their junior ones who are feeding on the lower heights.

Then the juniour ones realize that on top of the tree their are ripe fruits which they can share with their elder ones, and ask them if they can climb up and share the fruits, the elder onces usually tell them to look up and see if their is any fruits they can share, once the juniour look on top of the tree, they see NOTHING but their elder's red ASS!
 
System nzima ina dosari katika nchi yetu ila tunachongojea kwa sasa ni generation phase-out ya wazee na kuingia vijana katika ulimwengu wa kutekeleza mambo muhimu ya kitaifa ambayo yatasaidia wananchi moja kwa moja.

Kwa hali hii jinsi inavyokwenda inabidi vijana kukaza buti ili kujikwamua kwa njia yeyote ile hususani katika kuwachagua viongozi wenye maadili na walio watendaji. Mfumo wa elimu inabidi uwekwe sawa ili kuweza kufikia huko tunapotaka kufika bila hivyo wenzetu wengi ambao wako vijijini na ambao ndio upiga kura kwa wingi kumchagua mgombea uraisi, hunyimwa elimu bora kwa kusahaulika kabisa kwa kila mahitaji ya kufanikisha elimu yao.

Kinachotakiwa hapa ni kuelimisha vijana kwa wingi na kuwaelewesha wajue maamuzi wanayoyafanya leo huenda yakawasaidia au lah katika kukwamuliwa na mgombea yeyote au kiongozi yeyote yule hivyo wawe makini.
 
Tutawataja sana bila kupata solution,,,,ni bora tutawaliwe kidogo kwa miaka kama mitano na jeshi hao mbona watarudisha mali zote tu kwa nchi
 
Tuchangie mada, tuache kushambuliana bila sababu. Wewe unafikiri tufanye nini, inawezekana yeye hajasema, basi anza wewe kutoa wazo. Kama hoja inakukera kaa kimya tu huna haja ya kujenga vipingamizi.


Wewe unayewasema wenzako ulichokifanya nini.Naomba tueleze kabla ya kuwajadili hao uliowataja.Wewe kipato chako ni kiasi gani na umepata kwa njia gani.Umejaribu kusaidia taifa ukashindwa au hukujaribu kabisa.Utakapojibu hayo maswali ,utapata majibu ya jinsi gani kuisaidia Tanzania.Kama hunajibu achana na majungu and zip ur stinking big mouth
 
Ni vuzuri kujua those screwing up Tanzania, lakini we have to do with a very great care my brothers and sisters.
Tunatakiwa kujua vigezo amabavyo vimetumika kuwaanisha hao watu 50 kati ya watu million 40 Tanzania.Maana bila kuweka vigezo itakuwa tunajadili majungu tu hapa na naamini kujadidili majungu hayataweza kutufikisha popote, ukizingitia kuwa This is the home of Great Thinkers.So Mtumishi Tunahitaji uweke hapa vigezo vyako ili tuweza kujadili hii maada kwa uwazi na bila kumuonea mtu yeyote.Tanzania itajengwa na watu wenye fikra pevu na wala siyo watu wanaopenda mambo mepesi mepesi na majungu.
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom