500 Business Ideas (Mawazo ya Biashara 500)

Nahitaji maelezo kamili
Maelezo kamili yanapatikana kwa utaratibu maalum wa kuchangia asilimia 0.5 ya Capital Investment kwa kila wazo.
Maelezo kamili yameunganisha vipengere vifuatavyo:-
1. Introduction to business idea
2. Production Capacity
3. Technology and process
4. Investment scale, capital requirements and Equipments
5. Capital Investment in US$
6. Production and operation costs
7. Project Production costs and Pricing Structure
8. Profitability Analysis
9. Government facilities and incentive.
Karibu tukuhudumie.
 
Kwako Ngalamas ...
Project no. 244 ni Cattle Raising .. kama sikosei ...
Mtaji ni US$ 39,861
Faida kwa mwaka ni US$ 11,555
Karibu tukuhudumie.
 
Awa na tsh ngapo
Kwako Ngalamas ...
Project no. 244 ni Cattle Raising .. kama sikosei ...
Mtaji ni US$ 39,861
Faida kwa mwaka ni US$ 11,555
Karibu tukuhudumie.
I maana izo Ni dollar
 
Awa na tsh ngapo
I maana izo Ni dollar
Yes; tunafanya hivyo kwa sababu dola ndo currency iliyo stable .. pia Idea hizi zinatumika kwa Africa Mashariki; so kila nchi ichukue jukumu la kuconvert ....
 
Kwa sasa jumla ya Ideas 200 zimefanyiwa summary ... tuendelee kuwasiliana kwa hajili ya hatua zinazofuata.
 
Kwa sasa jumla ya Ideas 200 zimefanyiwa summary ... tuendelee kuwasiliana kwa hajili ya hatua zinazofuata.
 
Asilimia 0.5 ya capital sawa na shingapi kwa shillings wengine hatupo vizuri kwenye kuchenji hizi USD
 
Asilimia 0.5 ya capital sawa na shingapi kwa shillings wengine hatupo vizuri kwenye kuchenji hizi USD
Tusaidiane kwenye hesabu mkuu ..
Mfano Business Idea yako inahitaji Capital ya US$ 1000. Hii ni sana na Tshs. (1000 x 2300) = 2,300,000/=
Asilimia 0.5 ya 2,300,000/ =
2,300,000 x 0.5 ÷ 100 = 11,500.00
Tshs. Elfu 11,500/=
Hivyo tumia kanuni hiyo kwa figure inayoonekana kwenye mradi uliouchagua.
 
Yes; tunafanya hivyo kwa sababu dola ndo currency iliyo stable .. pia Idea hizi zinatumika kwa Africa Mashariki; so kila nchi ichukue jukumu la kuconvert ....
okay so what should I do
 
Sawa.nshacalculate yangu.utaratibu ukoje maana nimekutumia mpaka email hujibu kitu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…