Aisee wamekutibua leo🤣🤣🤣Nakuambia u will be surprised!
Kwani mifano mbona ipo mingi,
Mada hizi ntakua napita kama naaga maiti..
Siku hizi ni pesa tu, Hadi siku hizi Hadi kutafuta mwanaume ama mwanamke ni pesa, unataka mume sjui MWARABU, kanjibahi, mzungu, sijui mwenye hela, unalipia HUDUMA, unataka shugamami linataka mtu wa kumkuna limlipe unalipia tu watu wanaingia mzigoni,..
Mamaeh hujaona mboga ya NYAMA mwezi mzima mtu anakuja ooh Nina milioni 100 naomba ushaur nifanye biashara Gani 🚮🚮🚮🚮🚮🚮🚮
Kama unayawezaaa.....nenda efta mwanza wakupe mkataba na loan nunua howo mpya ......unaweka hiyo downpayment utapigiwa hesabu kila mwezi labda 5m rejesho .....fungal GPS au ukae kushoto kwenye tipper ya mchanga mpyaaa miaka 3 unamaliza inakuwa yako mwezi hukosi 15m.......nimekupa mwanga na pa kuanziaaHabar wakuu nafanya biashara ya duka la vyakula la jumla Sasa mtaji umepungua kulingana na ushindani mkali sana na biashara haitoki kama mwanzo,nafikiria biashara either kwenda china au biashara nyingine yoyote mkoa wowote wakuu nipeni mawazo yenu nitoboe
Pamoja mkuu ila ukisubiri sijui experience sijui utafiti wa soko kwa biashara ya uchuuzi hakika hautafanya chechote kileHapana wapo usihukumu wote kwa hoja yangu.
Ilienda wapi😀Nilikuwa na 80M mpaka muda huu sijui ipo wapi! Anyway tuyaache
Ndio maana nimemshauri abadili eneo akomae na biashara ya awali ,sasa bila utafiti mkuu apande ndege aende China? Anaenda nunua/kuagiza nini?Pamoja mkuu ila ukisubiri sijui experience sijui utafiti wa soko kwa biashara ya uchuuzi hakika hautafanya chechote kile
Mkuu unaijua biashara ya vyakula jumla ilivyongumu nibiashara isiyo na future faida ni shingi 500-900 na ushindani ni mkubwa sana supplier tuko wengi mnoNdio maana nimemshauri abadili eneo akomae na biashara ya awali ,sasa bila utafiti mkuu apande ndege aende China? Anaenda nunua/kuagiza nini?
🤣🤣🤣Hivi mtu mzima na akili zako una pesa zote hizo unashindwa kujua ufanye nini? Mbona mnapenda kujikweza na masifa ya kutaka tujue mna pesa? Wewe hii sio mara ya KWANZA unatoa mada za namna hii, hua unatoa mada za namna hii mara nyingi mara milioni 100 mara milioni ngapi, naona unatafuta sifa humu, ili tujue una hela, haiwezekani mtu mzima kama kweli mtu mzima mwenye mapumbu uwe na pesa zote hizo usijue Cha kufanya , umekuja kutuinjoi tu hapa, watu hatuna hata elfu kumi, unatujia na mada eti Nina milioni 70 sijui nifanyie nini, kumanyoko, msisumbue watu bwana, tafuta consultancy uwalipe wamejaa kibao hawana kazi, wape kazi, wakutengenezee business plan, acha kusumbua watu ********...Mimi hapa sijanywa hata chai, nakuta mtu ana milioni 70 eti hajui afanye biashara Gani, shenzi
By the way SIMBA BINGWA.
Kuna brother mmoja yupo soko kuu mtwara ni mzoefu mkubwa wa biashara, alitafuta frem akairekebisha na akaiweka fresh kabisa kwa ajili ya Duka la simu kwahiyo akasafiri kufuata bidhaa hizo dar....tukaja kukutana ujiji katika stori ndio akanieleza kuhusu bidhaa aliyofuata ila amini nakuambia nilimueleza kuwa ni heri afungue duka la vifaa vya pikipiki nikamtolea na mifano mingi kuhusu vifaa vya pikipiki na kweli akabadili gia angani na hadi leo anafanya vizuri sokoniNdio maana nimemshauri abadili eneo akomae na biashara ya awali ,sasa bila utafiti mkuu apande ndege aende China? Anaenda nunua/kuagiza nini?
Ha ha ha umenikumbusha mbali sana, mi kuna miaka nilipigika kweli alafu kuna lijamaa likanitumia sms, nina milion 200 nifanye biashara gani 😁Hivi mtu mzima na akili zako una pesa zote hizo unashindwa kujua ufanye nini? Mbona mnapenda kujikweza na masifa ya kutaka tujue mna pesa? Wewe hii sio mara ya KWANZA unatoa mada za namna hii, hua unatoa mada za namna hii mara nyingi mara milioni 100 mara milioni ngapi, naona unatafuta sifa humu, ili tujue una hela, haiwezekani mtu mzima kama kweli mtu mzima mwenye mapumbu uwe na pesa zote hizo usijue Cha kufanya , umekuja kutuinjoi tu hapa, watu hatuna hata elfu kumi, unatujia na mada eti Nina milioni 70 sijui nifanyie nini, kumanyoko, msisumbue watu bwana, tafuta consultancy uwalipe wamejaa kibao hawana kazi, wape kazi, wakutengenezee business plan, acha kusumbua watu ********...Mimi hapa sijanywa hata chai, nakuta mtu ana milioni 70 eti hajui afanye biashara Gani, shenzi
By the way SIMBA BINGWA.
Ni sawa mkuu maana pikipiki zinatembea kila siku akifanya utafiti akipata eneo zuri ataokata.Kuna brother mmoja yupo soko kuu mtwara ni mzoefu mkubwa wa biashara, alitafuta frem akairekebisha na akaiweka fresh kabisa kwa ajili ya Duka la simu kwahiyo akasafiri kufuata bidhaa hizo dar....tukaja kukutana ujiji katika stori ndio akanieleza kuhusu bidhaa aliyofuata ila amini nakuambia nilimueleza kuwa ni heri afungue duka la vifaa vya pikipiki nikamtolea na mifano mingi kuhusu vifaa vya pikipiki na kweli akabadili gia angani na hadi leo anafanya vizuri sokoni
Hakuna kitu kama hicho hakuna mtu kaandikiwa kufanya biashara Ile ile IleHiyo biashara ya duka la vyakula ndio biashara unayoimudu hama tafuta eneo lingina endelea na biashara hiyo unaimudu.
50M China utaangukia pua
Seran Sina hata elfu kumi hapa, unafungua simu ujiliwaze unakutana na mada za ******* kama hizi..kmmke.
Umeona mkuu? Wewe Sasa ndio umenielewa vyema zaidi ..hapo unaweza hata kuliaHa ha ha umenikumbusha mbali sana, mi kuna miaka nilipigika kweli alafu kuna lijamaa likanitumia sms, nina milion 200 nifanye biashara gani 😁
Na kweli kabisa mxiewwww !!!Mkuu relax...
Tupange mbinu namna ya kuipiga hiyo 50Mil ili siku nyingine aje na nyuzi za namna alivyopigwa 50Mil...
Ukiona fursa, nawe panga fursa 😀
tupe exprienc kaka ilikuajeNilikuwa na 80M mpaka muda huu sijui ipo wapi! Anyway tuyaache
Mim naona mkoanin atapiga pesa zaidi,Kama atakuwa na wazo Bora la biashara aliyokusudia.Mimi sina mengi ila kwa 50m baki Dar, mikoani hautapaweza kama hujawahi fanya biashara
Mikoani sio poa mwaisa, kama hajawahi fanya biashara atapotea vibaya. Hapo kama ataenda mkoa basi aweke nusu pembeni ila kwa Dar fursa ni nyingi sana akituliaMim naona mkoanin atapiga pesa zaidi,Kama atakuwa na wazo Bora la biashara aliyokusudia.