60% ya wakazi wa Dar ni wezi, hawana kazi za kueleweka na wazururaji

Na huo ndio ukweli.

60% Ya watu wanaoishi Dar (watu wazima tu ukitoa watoto)

Hawana kazi za kueleweka, kazi za kuwaweka busy masaa 10 kwa siku, ndio maana tukio likitokea mtaani ghafla unakuta watu wanajaa ghafla wengi sana na wanakaa hata saa nzima wakishangaa na kupiga umbea

Hayo hayo makundi ya watu wana asili ya ukibaka. Kuibiana hovyo vitu kama simu. Yani Dar haina Kibaka maalum asikudanganye mtu. Hata huko maofisini waliko busy ukikaa vibaya unaibiwa simu, wallet ama Pc tena hadi wanawake wanaiba mbele ya CCTV.

Dar huko zaidi ya 70% ya wanawake wanawake wanajiuza. Amini usiamini, wapo wale wanaojiuza usiku, na wapo wale ambao ukisema hela tu anaacha fugo jikoni unamlambia Bafuni tu kimoja cha nguvu![emoji28][emoji28][emoji28]

Dar usipokuwa makini utarudishwa mkoani ukiwa mweupe kabisa mfukoni kitu.
Umepigwa tukio kibanda cha Mhaya na sasa unadhani wanawake zetu Dar ni wezi.

Sisi wanaume wa Dar ni wajasiriamali, wewe endelea na tuhuma zako lakini sisi tunapiga hela kupitia Udalali, kupaka rangi kucha za wanawake, kuuza urembo, Ndondo Cup na kazalika
 
mbona hata wenye kazi za uhakika ni WEZI pia.
Kila mtu NI mwizi kwa nafasi yake.
Huko misikitini na makanisani viongozi wanaongoza kupiga sadaka.hata Mimi NI mwizi kwa nafasi yangu
 
Hio ya asilimia kubwa wanawake ni Malaya .....

Nakubaliana na wewe mkuu ....

Juzi nilikuwa na mshikaji wangu pale kibo bar flani pembeni na mwendokasi jion jion ,galfa zikapita pisi Kali mbili ,inaonekana walikuwa wametoka kununua chips na inaonekana wanakaa pamoja ....nikawambia oyaa unacheki zile pisi piga mruzi watageuka wote then nyonsha mkono onesha ishara ya kuwaita ,atakuja mmoja,then huyo chukua na unaweza kumla Leo Leo ....

Eeeeh bana eeeeh huwezi amini mruzi mmoja wakageuka ,Kuna mmoja alikuwa kavaa suruali Bomba imemshika hatari kitako kinaonekana vzuri ,kavaa na kishati flani chepesi nyonyo lain unaziona zinaninginia na hajavaa sindilia aisee ,alivosogea tu zile nyonyo ,ngozi nyeupe na lips macho ,nilianza kuchanganyikiwa mkuynge ukasimama , japo mshikaji wangu ndio kamuita ...demu alivokuja tu mwenzeka kajiongeza akawa anaendelea nasafari na vile vitu alivyokuwa kashika akawa amempa ...aisee nikawapisha bana nikawa nimesepa ...maana niliona hali ya hewa inaanza kuwa mbaya ....

Jamaa kanionesha picha zake Leo alivompelekea moto ,kumbe ile ile siku jion alimpiga machine ...daaa kile kidemu ni kizuri aisee mwenyewe najaribu kukitafuta kivyangu vyangu sitajali mshikaji kapita ....[emoji91][emoji91]

ila jamaa inaonekana alitoboka Sana mfukoni ,alikuwa na kama laki mbili na ile siku akibaki na kama elfu 40[emoji28]
 
Hahaha ulimbukeni mbaya kuna wanawake kibao wanaojiuza unaweza kumuita ukajiona unewin kumbe umeingia mkenge
 
Ukiwa na kazi mkeo anataka uwahi kurudi nyumbani na usiwe na vitabia vya uzururaji

ukiwa huna kazi unapewa maneno machungu na kuambiwa enda katembee utabahatika chochotee ....enda katembee usilale humu ndani ukaja nifiaa bureeee

hence full uzururajiii anyway mgaagaaa na mkwaa hali wali mkavuuu
mwenda bure sio sawa na mkaa buree huenda akaokota chochoteee
 
Na huo ndio ukweli.

60% Ya watu wanaoishi Dar (watu wazima tu ukitoa watoto)

Hawana kazi za kueleweka, kazi za kuwaweka busy masaa 10 kwa siku, ndio maana tukio likitokea mtaani ghafla unakuta watu wanajaa ghafla wengi sana na wanakaa hata saa nzima wakishangaa na kupiga umbea

Hayo hayo makundi ya watu wana asili ya ukibaka. Kuibiana hovyo vitu kama simu. Yani Dar haina Kibaka maalum asikudanganye mtu. Hata huko maofisini waliko busy ukikaa vibaya unaibiwa simu, wallet ama Pc tena hadi wanawake wanaiba mbele ya CCTV.

Dar huko zaidi ya 70% ya wanawake wanawake wanajiuza. Amini usiamini, wapo wale wanaojiuza usiku, na wapo wale ambao ukisema hela tu anaacha fugo jikoni unamlambia Bafuni tu kimoja cha nguvu![emoji28][emoji28][emoji28]

Dar usipokuwa makini utarudishwa mkoani ukiwa mweupe kabisa mfukoni kitu.
Aiseeeee !!
 
Asilimia ya ajira rasmi dar sidhani kama inafika 15% ,wengi wanafanya biashara ,hata hao unaosema wanajazana kwenye tukio wapo wanaoangalia fursa.
Kazi nyingi ni mawasiliano ya simu.

Unaona watu wamekaa kijiweni ila familia zina kula ,wengine ni madalali wa magari,nyumba , mifungo ,mazao ,dar hata ukitaka mbwa kuna dalali. Mtu anafanya udalali anapiga labda laki moja na amekaa wakati we unayejifanya busy hata hela ya kandoro huna.

Ukiona daladala huwezi kupambana wapo vijana unashikiwa siti unatoa jero mbali na nauli , ukiingia soko lenye matope wapo wanaokodisha buti uzunguke nazo humo sokoni ,mitaro ikijaa kuna vijana wabebaji,kwenye vidimbwi watu wanaweka mawe ya kukanyaga kupita sh 100 kama hutaki vua viatu ukanyage maji siyo mawe yao.

Mnawaona watu wa dar hawana ishu ila dada zenu wa mikoani wanashoboka na wanapigwa mimba daily.
 
Asilimia ya ajira rasmi dar sidhani kama inafika 15% ,wengi wanafanya biashara ,hata hao unaosema wanajazana kwenye tukio wapo wanaoangalia fursa.
Kazi nyingi ni mawasiliano ya simu.

Unaona watu wamekaa kijiweni ila familia zina kula ,wengine ni madalali wa magari,nyumba , mifungo ,mazao ,dar hata ukitaka mbwa kuna dalali. Mtu anafanya udalali anapiga labda laki moja na amekaa wakati we unayejifanya busy hata hela ya kandoro huna.

Ukiona daladala huwezi kupambana wapo vijana unashikiwa siti unatoa jero mbali na nauli , ukiingia soko lenye matope wapo wanaokodisha buti uzunguke nazo humo sokoni ,mitaro ikijaa kuna vijana wabebaji .

Mnawaona watu wa dar hawana ishu ila dada zenu wa mikoani wanashoboka na wanapigwa mimba daily.
Imagine hiyo ya kuwahiwa siti[emoji2][emoji2]
Huko Sokoni mbali na kupewa Buti.. ukitoka umechafuka matope kuna watu nje na majaba ya maji wanakuosha..[emoji16]
 
Back
Top Bottom