60% ya wakazi wa Dar ni wezi, hawana kazi za kueleweka na wazururaji

60% ya wakazi wa Dar ni wezi, hawana kazi za kueleweka na wazururaji

Na huo ndio ukweli.

60% Ya watu wanaoishi Dar (watu wazima tu ukitoa watoto)

Hawana kazi za kueleweka, kazi za kuwaweka busy masaa 10 kwa siku, ndio maana tukio likitokea mtaani ghafla unakuta watu wanajaa ghafla wengi sana na wanakaa hata saa nzima wakishangaa na kupiga umbea

Hayo hayo makundi ya watu wana asili ya ukibaka. Kuibiana hovyo vitu kama simu. Yani Dar haina Kibaka maalum asikudanganye mtu. Hata huko maofisini waliko busy ukikaa vibaya unaibiwa simu, wallet ama Pc tena hadi wanawake wanaiba mbele ya CCTV.

Dar huko zaidi ya 70% ya wanawake wanawake wanajiuza. Amini usiamini, wapo wale wanaojiuza usiku, na wapo wale ambao ukisema hela tu anaacha fugo jikoni unamlambia Bafuni tu kimoja cha nguvu![emoji28][emoji28][emoji28]

Dar usipokuwa makini utarudishwa mkoani ukiwa mweupe kabisa mfukoni kitu.
Sio dar tu, japo pamezidi. Hakuna sababu ya kuingia gharama kufanya utafiti kujua kiwango cha wasio na kazi Tanzania. Tukio lolote linalovuta watu na wakalishiriki kwa muda mrefu eg mapokezi ya team ya mpira, elewa wote hawana la kufanya.
 
Kuna wamama fulani huwa nawakutaga wengi pale Masaki mitaa karibia na Bakhressa...
Wengine kila jioni nawakuta ile njia ya Golden Tulip kuelekea Coco Beach...
Juzi usiku ile natoka tu getini wakanifuata wanaomba nauli....
Nilijisikia vibaya na kuwaonea sana huruma......

NB: Haya mambo siyo ya kufurahia, yanaumiza sanaaa. (Umasikini unazidi kukomaa hapa nchini)
Serikali inawashauri waende waka bet.
 
Dar hadi wake za watu wanajiuza yani mkeo mwenyewe ukishangaa tu anakuchapa tena wazuwazi.
 
Hio ya asilimia kubwa wanawake ni Malaya .....

Nakubaliana na wewe mkuu ....

Juzi nilikuwa na mshikaji wangu pale kibo bar flani pembeni na mwendokasi jion jion ,galfa zikapita pisi Kali mbili ,inaonekana walikuwa wametoka kununua chips na inaonekana wanakaa pamoja ....nikawambia oyaa unacheki zile pisi piga mruzi watageuka wote then nyonsha mkono onesha ishara ya kuwaita ,atakuja mmoja,then huyo chukua na unaweza kumla Leo Leo ....

Eeeeh bana eeeeh huwezi amini mruzi mmoja wakageuka ,Kuna mmoja alikuwa kavaa suruali Bomba imemshika hatari kitako kinaonekana vzuri ,kavaa na kishati flani chepesi nyonyo lain unaziona zinaninginia na hajavaa sindilia aisee ,alivosogea tu zile nyonyo ,ngozi nyeupe na lips macho ,nilianza kuchanganyikiwa mkuynge ukasimama , japo mshikaji wangu ndio kamuita ...demu alivokuja tu mwenzeka kajiongeza akawa anaendelea nasafari na vile vitu alivyokuwa kashika akawa amempa ...aisee nikawapisha bana nikawa nimesepa ...maana niliona hali ya hewa inaanza kuwa mbaya ....

Jamaa kanionesha picha zake Leo alivompelekea moto ,kumbe ile ile siku jion alimpiga machine ...daaa kile kidemu ni kizuri aisee mwenyewe najaribu kukitafuta kivyangu vyangu sitajali mshikaji kapita ....[emoji91][emoji91]

ila jamaa inaonekana alitoboka Sana mfukoni ,alikuwa na kama laki mbili na ile siku akibaki na kama elfu 40[emoji28]
Hio ni ajira isiyo rasmi kabisa ya wasomi wengi wa walioko vyuo vikuu, wamama wa nyumbani, wadada ambao hawajaolewa n.k

Dsm inanuka Dhambi nyingi sana hasa upande wa Ngono za hovyo hovyo.
 
Kuna omba omba washikaji kmamae yaani kukutana na mtu unamjua bar unatakamani uhame kiwanja atataka umnunulie kinywaji, chakula na nauli ya kurudi nyumbani umpe... siku hizi nawachana kavu kavu sina huruma tena
Omba omba siku hizi sio kina Matonya tena wanaojipanga barabarani.

wame modify siku hizi wanaita kupiga vizinga.
 
Wakati unawachunguza wewe ulikuwa unafanya kazi gani, amaulikuwa sehemu ya hiyo 60% sasa umepata kibarua ndio unaongea mav@%!1.
 
Na huo ndio ukweli.

60% Ya watu wanaoishi Dar (watu wazima tu ukitoa watoto)

Hawana kazi za kueleweka, kazi za kuwaweka busy masaa 10 kwa siku, ndio maana tukio likitokea mtaani ghafla unakuta watu wanajaa ghafla wengi sana na wanakaa hata saa nzima wakishangaa na kupiga umbea

Hayo hayo makundi ya watu wana asili ya ukibaka. Kuibiana hovyo vitu kama simu. Yani Dar haina Kibaka maalum asikudanganye mtu. Hata huko maofisini waliko busy ukikaa vibaya unaibiwa simu, wallet ama Pc tena hadi wanawake wanaiba mbele ya CCTV.

Dar huko zaidi ya 70% ya wanawake wanawake wanajiuza. Amini usiamini, wapo wale wanaojiuza usiku, na wapo wale ambao ukisema hela tu anaacha fugo jikoni unamlambia Bafuni tu kimoja cha nguvu!😅😅😅

Dar usipokuwa makini utarudishwa mkoani ukiwa mweupe kabisa mfukoni kitu.
Ni kweli,% ya wanawake wanajiuza,wanaume wengi hawana kazi
 
Wakati unawachunguza wewe ulikuwa unafanya kazi gani, amaulikuwa sehemu ya hiyo 60% sasa umepata kibarua ndio unaongea mav@%!1.
Bwana Liwa,
hebu jifunze maana ya utafiti. Utakuja kuelewa nini kikichoandikwa.

La sivyo utaliwa kila siku kwa sababu ya kujipa upofu mpaka kwenye mambo ya wazi.
 
Na huo ndio ukweli.

60% Ya watu wanaoishi Dar (watu wazima tu ukitoa watoto)

Hawana kazi za kueleweka, kazi za kuwaweka busy masaa 10 kwa siku, ndio maana tukio likitokea mtaani ghafla unakuta watu wanajaa ghafla wengi sana na wanakaa hata saa nzima wakishangaa na kupiga umbea

Hayo hayo makundi ya watu wana asili ya ukibaka. Kuibiana hovyo vitu kama simu. Yani Dar haina Kibaka maalum asikudanganye mtu. Hata huko maofisini waliko busy ukikaa vibaya unaibiwa simu, wallet ama Pc tena hadi wanawake wanaiba mbele ya CCTV.

Dar huko zaidi ya 70% ya wanawake wanawake wanajiuza. Amini usiamini, wapo wale wanaojiuza usiku, na wapo wale ambao ukisema hela tu anaacha fugo jikoni unamlambia Bafuni tu kimoja cha nguvu!😅😅😅

Dar usipokuwa makini utarudishwa mkoani ukiwa mweupe kabisa mfukoni kitu.
Umepigwa?
Pole bwashee 😂
 
Hahahaha
Mzee mpaka unabadilisha njia
Za kupita kukwepa vizinga

Ova
Eti mtu anaomba hela kirahisi tu kama anaomba maji ya kunywa..

eti "kaka una buku hapo ya karibu ntakurudishia baadae?"😅😅😅

jichanganye umpe uone moto😂😂
 
Bwana Liwa,
hebu jifunze maana ya utafiti. Utakuja kuelewa nini kikichoandikwa.

La sivyo utaliwa kila siku kwa sababu ya kujipa upofu mpaka kwenye mambo ya wazi.
Utafitiwako uchwara sana, wezi wote wapo jela.
Ukiona mtuyopo mtaani ujue huyo niraiya mwema.
 
Pamoja na hoja yako kuwa na mashiko, hili jiji watu wengi hawana shughuli rasmi. Anachosema ni kweli kuwa tukio dogo litajaza watu na watakaa hapo for no obvious reasons, sababu kubwa ni kukosa kazi za kufanya.
Na hao hao ndo wezi pia...Dar ovyo sana

Unaweza ukawa unamheshimu mtu unamuona wa maana kumbe buure tu, jizi[emoji28][emoji28]
 
Eti mtu anaomba hela kirahisi tu kama anaomba maji ya kunywa..

eti "kaka una buku hapo ya karibu ntakurudishia baadae?"[emoji28][emoji28][emoji28]

jichanganye umpe uone moto[emoji23][emoji23]
Kwwli sahvi wapiga mizinga wamepamba moto,ndy pesa hatuna
Lakini naona kama upigaji mizinga umeshamiri
Kuna mtu namjua yeye akienda down town ni kwenda kupiga watu virungu

Ova
 
Back
Top Bottom