60% ya wakazi wa Dar ni wezi, hawana kazi za kueleweka na wazururaji

Sio dar tu, japo pamezidi. Hakuna sababu ya kuingia gharama kufanya utafiti kujua kiwango cha wasio na kazi Tanzania. Tukio lolote linalovuta watu na wakalishiriki kwa muda mrefu eg mapokezi ya team ya mpira, elewa wote hawana la kufanya.
 
Serikali inawashauri waende waka bet.
 
Dar hadi wake za watu wanajiuza yani mkeo mwenyewe ukishangaa tu anakuchapa tena wazuwazi.
 
Hio ni ajira isiyo rasmi kabisa ya wasomi wengi wa walioko vyuo vikuu, wamama wa nyumbani, wadada ambao hawajaolewa n.k

Dsm inanuka Dhambi nyingi sana hasa upande wa Ngono za hovyo hovyo.
 
Kuna omba omba washikaji kmamae yaani kukutana na mtu unamjua bar unatakamani uhame kiwanja atataka umnunulie kinywaji, chakula na nauli ya kurudi nyumbani umpe... siku hizi nawachana kavu kavu sina huruma tena
Omba omba siku hizi sio kina Matonya tena wanaojipanga barabarani.

wame modify siku hizi wanaita kupiga vizinga.
 
Wakati unawachunguza wewe ulikuwa unafanya kazi gani, amaulikuwa sehemu ya hiyo 60% sasa umepata kibarua ndio unaongea mav@%!1.
 
Ni kweli,% ya wanawake wanajiuza,wanaume wengi hawana kazi
 
Wakati unawachunguza wewe ulikuwa unafanya kazi gani, amaulikuwa sehemu ya hiyo 60% sasa umepata kibarua ndio unaongea mav@%!1.
Bwana Liwa,
hebu jifunze maana ya utafiti. Utakuja kuelewa nini kikichoandikwa.

La sivyo utaliwa kila siku kwa sababu ya kujipa upofu mpaka kwenye mambo ya wazi.
 
Umepigwa?
Pole bwashee πŸ˜‚
 
Hahahaha
Mzee mpaka unabadilisha njia
Za kupita kukwepa vizinga

Ova
Eti mtu anaomba hela kirahisi tu kama anaomba maji ya kunywa..

eti "kaka una buku hapo ya karibu ntakurudishia baadae?"πŸ˜…πŸ˜…πŸ˜…

jichanganye umpe uone motoπŸ˜‚πŸ˜‚
 
Bwana Liwa,
hebu jifunze maana ya utafiti. Utakuja kuelewa nini kikichoandikwa.

La sivyo utaliwa kila siku kwa sababu ya kujipa upofu mpaka kwenye mambo ya wazi.
Utafitiwako uchwara sana, wezi wote wapo jela.
Ukiona mtuyopo mtaani ujue huyo niraiya mwema.
 
Pamoja na hoja yako kuwa na mashiko, hili jiji watu wengi hawana shughuli rasmi. Anachosema ni kweli kuwa tukio dogo litajaza watu na watakaa hapo for no obvious reasons, sababu kubwa ni kukosa kazi za kufanya.
Na hao hao ndo wezi pia...Dar ovyo sana

Unaweza ukawa unamheshimu mtu unamuona wa maana kumbe buure tu, jizi[emoji28][emoji28]
 
Eti mtu anaomba hela kirahisi tu kama anaomba maji ya kunywa..

eti "kaka una buku hapo ya karibu ntakurudishia baadae?"[emoji28][emoji28][emoji28]

jichanganye umpe uone moto[emoji23][emoji23]
Kwwli sahvi wapiga mizinga wamepamba moto,ndy pesa hatuna
Lakini naona kama upigaji mizinga umeshamiri
Kuna mtu namjua yeye akienda down town ni kwenda kupiga watu virungu

Ova
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…