Mzalendo Uchwara
JF-Expert Member
- Jan 26, 2020
- 5,146
- 15,927
Mkuu,Maandamano yanayopangwa hiyo 7/7 hayatofanikiwa! Psychology ya watu haipo kabisa huko.
Afadhali wanaharakati wangewaacha CDM waendelee na mikutano yao na kuendelea kushawishi pressure kutoka nje.
Zaidizaidi yataishia kudhoofisha harakati kwa "kuipa kiburi" serikali na kuiaminisha kuwa watu wanaogopa kuandamana baada ya mauaji ya 29/10.
Na hicho ni kitu kibaya kwakuwa washauri wa serikali kwenye mambo ya ulinzi kwa serikali watazidi ku reinforced idea ya kuwa ukatili ndio njia sahihi ya kudhibidi wananchi.
Nimepita 'huku na kule', siwaoni watu wakiwa kama walivyokuwa ile October.Psychology ya watu haipo huko umejuaje?
Ni kweli, lakini unaweza kutumia viashiria kupima uwezekano wa jambo fulani kutokea.Huwezi kujua kwa uhakika yatafanikiwa au hayatofanikiwa kabla hayajatokea.
Kinachoweza kujadiliwa ni kama muda, maandalizi na mkakati vinafaa.
Harakati za kisiasa hufanikiwa kwa maandalizi, ushawishi wa wananchi na njia zinazojenga uungwaji mkono wa umma.
Pia, ni muhimu pande zote ziheshimu sheria na haki za msingi, ikiwemo haki ya kujieleza na kukusanyika kwa amani, huku wakiepuka vitendo vya vurugu vinavyoweza kuhatarisha maisha ya watu.
We hata elimu ulikosa kuhusu walijitolea wakafa kwa ajili ya ujinga wako ukaishi na uhuru na kutumia vitu ambavyo unaweka emoji kumbe vyao tokea mpaka leo.Eti mtu ukafe njiani ukigombania haki za kina King'amuzi, amber rutty, Harmorapa 😀😀😀
Maandamano yanayopangwa hiyo 7/7 hayatofanikiwa! Psychology ya watu haipo kabisa huko.
Afadhali wanaharakati wangewaacha CDM waendelee na mikutano yao na kuendelea kushawishi pressure kutoka nje.
Zaidizaidi yataishia kudhoofisha harakati kwa "kuipa kiburi" serikali na kuiaminisha kuwa watu wanaogopa kuandamana baada ya mauaji ya 29/10.
Na hicho ni kitu kibaya kwakuwa washauri wa serikali kwenye mambo ya ulinzi kwa serikali watazidi ku reinforced idea ya kuwa ukatili ndio njia sahihi ya kudhibidi wananchi.
Ukiangalia mazingira, mwitikio wa watu, maandalizi na matukio yaliyopita, unaweza kukadiria uwezekano wa jambo fulani kutokea. Hata hivyo, makadirio si uhakika; matokeo yanaweza kubadilika kutokana na mambo yanayojitokeza baadaye.Ni kweli, lakini unaweza kutumia viashiria kupima uwezekano wa jambo fulani kutokea.
Watu waliojiweka madarakani hawapaswi kuwa na peace of mind hata kidogo!MAUAJI YA OCTOBER 29 YALIKUWA YA KUTISHA SANA.
Haya maandamano wangeyasogeza Mbele hadi October 29 tukutane kuwakumbuka Ndugu zetu.
NCHI IPO CHINI YA MAJANGIRI HII
Maandamano yanaweza kuwepo kama watu tutaelewa kuwa ata tusipoandamana sio suluhisho la CCM kuacha kuteka, kuua ama kubambikia watu kesi. Na nikwambie watu wasipoandamana ndio itakuwa mwanzo wa kufa upinzani na utesaji mkubwa sana wa watu. Na kamwe tusahau katiba mpya, tume huru ya uchaguzi etc.Maandamano yapo, tena makubwa..