75% ya Madereva wanaopaki Gari zao kusubiria kubeba Wanafunzi Shule ya FEZA Kawe, huyageuza 'Gesti Bubu' Tanganyika Packers Grounds

75% ya Madereva wanaopaki Gari zao kusubiria kubeba Wanafunzi Shule ya FEZA Kawe, huyageuza 'Gesti Bubu' Tanganyika Packers Grounds

Niwaombe tu Wamiliki wa hizo Gari kisirisiri Kuzifunga Camera ili wawe Wanajionea Video X za bure pale wakitaka kutoka kwa Madereva Wao waliowakabidhi hizo Gari ili wabebe Watoto wenu.

Madereva ambao GENTAMYCINE nawazungumzia hapa ni wale ambao Asubuhi hubeba Wanafunzi kutoka Majumbani kwa Mabosi zao kuwapeleka Shule FEZA Kawe kisha wanatakiwa Kuwasubiria hadi Saa 7 Mchana wawarudishe Makwao.

Wanachokifanya Madereva hawa wa Gari Binafsi za Matajiri wao ni kwamba kuanzia Saa 2 Asubuhi hadi Saa 7 Mchana hupaki Gari zao maeneo ya Uwanja wa Tanganyika Packers mkabala na ilipo Hospitali ya Masista Kawe kisha kuanza Kuvizia Wanawake na hasa hasa Wanawake ambao ni Waumini wa Mwamposa waliotoka Mikoani na hawana mahala kwa Kuishi kisha Kuwatongoza na Wakikubaliana huingia Garini na Mbanduano / Mbaiolojiano kuanza.

Ukiwa eneo hilo ukiona TU Gari imefunguliwa Milango yote jua Mwanamke anaimbishwa na akikubali Kutinduliwa Milango ya Gari na Buti inafungwa na baada ya muda Wakishamalizana utaona Milango na Buti inafunguliwa ili Viungo Korofi vya Kibaiolojia vipigwe na Upepo wa Baharini Kawe Beach na taratibu utaona Mwanamke anaondoka zake.

Inasikitisha sana Masikini ya Mungu yaani Watoto wanatoka Darasani huku Topiki zikiwa Zimewachanganya na wakiingia katika Gari za Baba zao ili warejee Nyumbani Kupumzika wanakutana na harufu tu za Mbunye na Mikuyenge zinazotawala Garini.

Na ole Wenu Madereva mnaopaki hapo muipinge hii Taarifa yangu na muichukie kwani nina Majina yenu na baadhi yenu ni Marafiki zangu ila huwa hamjui tu kuwa mliyenae na mnayepiga nae Soga za kila aina ni Kiboko Yao GENTAMYCINE wa JamiiForums na wala msipoteze muda wa Kunichunguza Mimi ni nani kwani hamtonijua hata mfanyeje kwa jinsi ninavyojiweka katika Jamii ila Mimi nitaendelea tu Kuwajua na Kuyajua yenu mengi.

Wenye Gari fungeni Camera sawa?
huyu unakuja kwa mbele yangu ni wewe eeh, ulovaa jezi ya wananchi

nimekuona umtoka kwenye gari ileeee WUN si ndio?
 
Kwahiyo wakati wa mnyanduano gari linakuwa linanesa nesa kama la Idi Amin baada ya kuopoa 'mlupo' (Sarah) akiwa kwenye rally ya magari in the 1970s? 🤣
 
Tuwe na hofu ya Mungu na tuishi kwa malengo ndugu zangu,,, hakutakuwa na mda wa kufanya upuuzi huu.
 
Back
Top Bottom