75% ya Madereva wanaopaki Gari zao kusubiria kubeba Wanafunzi Shule ya FEZA Kawe, huyageuza 'Gesti Bubu' Tanganyika Packers Grounds

huyu unakuja kwa mbele yangu ni wewe eeh, ulovaa jezi ya wananchi

nimekuona umtoka kwenye gari ileeee WUN si ndio?
 
Kwahiyo wakati wa mnyanduano gari linakuwa linanesa nesa kama la Idi Amin baada ya kuopoa 'mlupo' (Sarah) akiwa kwenye rally ya magari in the 1970s? 🤣
 
Tuwe na hofu ya Mungu na tuishi kwa malengo ndugu zangu,,, hakutakuwa na mda wa kufanya upuuzi huu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…