David Thomas M
JF-Expert Member
- Jan 2, 2015
- 546
- 137
Hiyo dua iwarudie
mikelele miiingi,laleni basi mtashangilia na keshoYangaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaa
Ngasaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaa
Mikia mvae miwani msione GERE!!!
Jukwaa limedorola kama nini! Mikia mko wapi jamani? Njooni huku tuchati. Tumewanyima raha tangu Jumatano, Jumamosi na Jumapili, poleni sana, hiyo ndiyo Young Africans Sports Club, bingwa wa kihistoria, wengine wasindikizaji tu kama kenge katika msafara wa mamba.
mikelele miiingi,laleni basi mtashangilia na kesho
Kwa niaba ya wana Yanga wote, tunatoa pole kwa mikia mliokuja Taifa kujiandaa kuishangilia Mtibwa sugar, na kuizomea Yanga.
Tunatoa pole kwa mikia ya hapa jukwaani,waliokuwa wanatubeza toka jana, kuhusu Mtibwa, ila wameshuhudia kiama.
Tunatoa pole kwa mikia ambao bundle wananunua wenyewe, lakini ni Yanga ndio wanawaamuru jinsi ya kuitumia na kuingia jukwaa hili.
Tunatoa pole ya dhati kwa yeyote aliyenuna siku ya leo, kwa ushindi wa Yanga, pole kwa wewe unayechungulia tu nyuzi za game ya leo.
Tulianza na Mungu tutamaliza na Mungu.
Bado shirikisho tunauwa mtu kutoka Liberia.
Yaani leo ni vita kali sana uwanja wa taifa ila Yanga itashinda 2:0
Nachukua fursa hii kuwapongeza yanga kwa dhati kwa ushindi waliopata katika mechi mbili zilizopita.Wote tunajua ligi ni ngumu na bado tofauti ya point sio ya kutabiri bingwa....Hii ni changamoto kwa timu yangu ya Simba kuona ni kipi kinachoweza kufanyika ili katika mechi zijazo performance iwe afueni....Otherwise mpira ni upendo,furaha,Amani Makoye Matale Bantu lady Masuke Amavubi grafani11 sembo

Huyu golikipa Alphonce katokea wapi?Kikosi cha yanga leo; 1. Barthez, 2.Twite, 3.Edward charles, 4.Rajabu zahir, 5.cannavaro, 6. Telela, 7.msuva, 8.Niyonzima, 9.Sherman, 10. Tambwe, 11. coutinho. SUB-Ngassa, javu, tegete, mrwanda, alphonce(kipa)
Yanga juuu juuu sana tu...