8/02/2015: Yanga vs Mtibwa match preview and live coverage

Ngassa anawakosa hawa Mtibwa...

Kipa anadaka...
 
...hata mpira ukiisha saizi itakuwà poa tu..
 
Mikia imeanza kususia jukwaa,
komaeni mpaka mwisho.
 
Matokeo tafadhali, yanga hajalishwa tu miwa ya mtibwa??
 
Ngaaasa anapiga chenga had kipaa hapa gooooal,yanga 2 dk 63 ngasa angeza 1 uondoke na mpira
 
Last edited by a moderator:
Ngassa anafunga goli safi...anatokea pasi na kumchambua Said Mohamed kabla ya kubakia yeye na nyavu na kuujaza mpira ule kimiani
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…