8/02/2015: Yanga vs Mtibwa match preview and live coverage

8/02/2015: Yanga vs Mtibwa match preview and live coverage

Ni suala la muda tu kabla hawa walamba sukari hawajalambwa wao...
 
Watangazaji wa azam tv ni janga la kitaifa, yaani sijui pale azam tv media Limited wanatumia vigezo gani kuajiri hawa makanjanja wao.

hawa azam wana go international lakini utangazaji wao ni wa kinazi sana simba wakubwa hawa!
 
Paaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaa!!!,huku kwetu yanga 1-0 mtibwa. vipi huko kwenu.
 
Back
Top Bottom