Nyalumana originally
JF-Expert Member
- Apr 24, 2019
- 421
- 1,367
Achana na kuwa na wazazi tu bro;Naona hii hoja tumshirikishe Waziri Dorothy Gwajima. Inakuwaje mwanamke kufikiria apate mwanamme ili ampe majukumu ya matatizo yake, kwani hawa wanawake hawana wazazi? Kwa kwei wanawake wa kibongo mnaboa kishenzi mpaka wanaume wanawakimbia.
Wapo wengine wameolewa na waume safi wanawapa kila kitu but bado wanajishusha kwa wanaume wengine na kuanza vizinga ukisikia mke wa mtu analiwa ujue sababu ni hii tunawala kwa sababu ya hasira ya kuombwa ofa ofa zisizo rasmi mfano wife wa mtu anakuomba umuunge kifurushi cha buku,mara naomba unilipie nauli kwenye daladala nauli yenyewe 500, akikukuta supermarket utasikia jamani shemeji wanao unawanunulia zawadi gani leo?
So chanzo cha kuliwa kinaanzia huku kwenye ombaomba