80% ya Wanawake Tanzania ni 'omba omba'

80% ya Wanawake Tanzania ni 'omba omba'

Yeah,utakuta mdada ana kazi nzuri,mshahara mnono na marupurupu kuzidi wewe mwanaume,unajisemea labda huyu nikimpata hatonisumbua kabisa katka masuala ya kipesa ili hichi kidogo nilichonacho km ndo nimeanza kibanda nipambane mwenyewe bila bughudha,ololiloololo yaani hawa ndo waste kabisa hovyo zaidi ya hovyo,utapigwa vizinga vya kimataifa mpk ukimbie.
Nowdays ndo maana wanaume wanaamua kuoa wadada ambao ni level ya chini kabisa na wasio na kazi ili angalau uwe na mtu unayemhudumia kila kitu kwa kujua kweli hana na mtaishi maisha peacefully bila taabu but kuoa mwanamke mwenye uwezo kipesa na hawa waajiriwa ndo hovyo kabisa!Yaani hata kitunguu atakuomba pesa.
Zamani nilijua hawa makahaba ni wale ambao maisha imekuwa ngumu kwao but kumbe makahaba wasomi na waajiriwa,wake za watu ndo wengi sana kuliko hawa madada poa
Umeongea kitu kikubwa sana mkuu
 
Sasa upange nyumba ya bei yote hiyo ilihali huna kipato. Jirani na nyumbani kwangu kuna apartment zinapangishwa, kuna wadada kama 2 wamepangishiwa hapo. Wanapewa kila kitu nz madanga yao lakini na wenyewe wana vimwaume vyao pembeni. Yaani huwa siwaelewi hawa watu . Mwanamke unawezaje kuwa na zaidi ya mwanaume mmoja at the same time? Huu ni ukahaba
Tuko katika mchakato wa kukujengea sanamu yako pale posta mpya
 
Wana njaa kali na wanajitoa muhanga kwenye front zote. Wako wanaofanya ukahaba wa wazi mabarabarani, maofisini, na mitandaoni. Na wapo wengine wanafanya hivyo indirect kwenye mahusiano na mpaka kwenye ndoa zao pia. Yaani, exchange ya viungo vya uzazi na pesa. Na sehemu kubwa ni wale wanaopenda slope, yaani kimjini kitonga au udangaji.
Mkuu usiwaseme vibaya wanawake hata wewe uliomba hifadhi kwao kwa miezi 9 kabla hujaja duniani
 
Ni kweli kabisa utoto unasumbua....

Ni kweli kiasilia mwanaume ni mtoaji sababu sisi kiasilia ndio tunabeba mimba na kulea,hivyo most times hatuko kwenye shughuli za kimaendeleo...na tunategemea 'resources' kutoka kwa mwanaume..ni trait tunayo share na wanayama wengi kasoro simba.
Mwanamke wa Kitanzania kuwa ombaomba siyo biological "trait" bali ni cultural trait. The phenomenon is 100% due to cultural and social norms. Nchi zilizoendelea Wanawake wapo tofauti hawana kabisa tabia ya kuombaomba. Hii tabia nimeiona kwa kila Mwanamke niliyeshiriki naye sex Bongo, na ni wengi sana, sijui idadi.
 
Mwanamke wa Kitanzania kuwa ombaomba siyo biological "trait" bali ni cultural trait. The phenomenon is 100% due to cultural and social norms. Nchi zilizoendelea Wanawake wapo tofauti hawana kabisa tabia ya kuombaomba. Hii tabia nimeiona kwa kila Mwanamke niliyemtomba Bongo, na ni wengi sana, sijui idadi.
Unajidanganyaaaa
 
Mwanamke wa Kitanzania kuwa ombaomba siyo biological "trait" bali ni cultural trait. The phenomenon is 100% due to cultural and social norms. Nchi zilizoendelea Wanawake wapo tofauti hawana kabisa tabia ya kuombaomba. Hii tabia nimeiona kwa kila Mwanamke niliyemtomba Bongo, na ni wengi sana, sijui idadi.
Hili lina ukweli ndani yake.
Mwanamke yeyote unless ni sugar mummy, ukisha sex naye wewe ni mradi tayari, kama ifuatavyo..


Kodi ya nyumba imepelea
Nywele zinahitaji retouch
Anahitaji dera
Anahitaji simu ya tachi( na si Tecno)
Mjomba kalazwa
Mtoto anaumwa( ni single mother, mtoto si wako)
Amekumisi anaomba anywe wine nyumbani
Ana shida ya elf 50..............
...............

Kazi kwako mwanaume.
Mahitaji yakizidi mtu anabadilisha line ya simu.
 
Wanawake wanawaomba wanaume sababu na wanaume wanawaomba wanawake. Ingekua sivyo wanaume wangeacha kutoa wanachoombwa ili kukomesha tabia ya kuomba

Siku hizi wote wanawake na wanaume wanadai haki sawa
Huo ni upuuzi mbona ulaya watu wanadate wanasex na wana split bills. Ukishaweka mentality kwamba uchi wako ni bidhaa ambayo haitoki bila hela ushakuwa kahaba. Kwani wanawake ndo hawapendi sex na wapenzi?
 
Back
Top Bottom