Nashengena
JF-Expert Member
- Apr 20, 2013
- 2,913
- 5,318
Namaanisha hata hela yako siwezi kuchukua. Nahitaji mapenzi sio hela. Nikipokea hela yako sababu ya kutoa papuchi nitakua najiuza.Ukichukua hela halafu ukachomoa kupigwa miti we ni malaya tu
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Namaanisha hata hela yako siwezi kuchukua. Nahitaji mapenzi sio hela. Nikipokea hela yako sababu ya kutoa papuchi nitakua najiuza.Ukichukua hela halafu ukachomoa kupigwa miti we ni malaya tu
mnhhhhhh.......its soo unfair kulinganisha 'wanawake' nchi zilizoendelea na Tanzania,do they face same challenges/struggle..???...ushasema nchi 'zilizoendelea meaning wanawake wa huko wana access to better education opportunities, hivyo better job prospects na tena their social welfare system is in place to support them in case things fall apart.Mwanamke wa Kitanzania kuwa ombaomba siyo biological "trait" bali ni cultural trait. The phenomenon is 100% due to cultural and social norms. Nchi zilizoendelea Wanawake wapo tofauti hawana kabisa tabia ya kuombaomba. Hii tabia nimeiona kwa kila Mwanamke niliyemtomba Bongo, na ni wengi sana, sijui idadi.
Kweli, mpaka unashangaa, siomoja alafu.Wanaume wanaomba omba jamani uwiii...[emoji2][emoji2][emoji2]
Sent from my TECNO KA7 using JamiiForums mobile app
Huo ni upuuzi mbona ulaya watu wanadate wanasex na wana split bills. Ukishaweka mentality kwamba uchi wako ni bidhaa ambayo haitoki bila hela ushakuwa kahaba. Kwani wanawake ndo hawapendi sex na wapenzi?
Kuna wengine ata ukutane nao saa 7 usiku ukitupia nyavu ikarudi na samaki utasikia "NANJAA SIJALA TANGU ASUBUHI" sasa unajiuliza kwahyo aliplan kulala njaaa??shida hamdangi kwa viwango vya kimataifa, mnadangisha kiboya. Yaani umetongozwa saa 8:54, saa 8:55 invoices zinaanza
Unajuana na demu leo, kesho gesi yake itaisha, ataingia period, mama yake ataumwa, mjomba ake atameza shoka[emoji23][emoji23]
Mwanamke wa Kitanzania kuwa ombaomba siyo biological "trait" bali ni cultural trait. The phenomenon is 100% due to cultural and social norms. Nchi zilizoendelea Wanawake wapo tofauti hawana kabisa tabia ya kuombaomba. Hii tabia nimeiona kwa kila Mwanamke niliyemtomba Bongo, na ni wengi sana, sijui idadi.
Punguza ukali wa manenoMwanamke wa Kitanzania kuwa ombaomba siyo biological "trait" bali ni cultural trait. The phenomenon is 100% due to cultural and social norms. Nchi zilizoendelea Wanawake wapo tofauti hawana kabisa tabia ya kuombaomba. Hii tabia nimeiona kwa kila Mwanamke niliyemtomba Bongo, na ni wengi sana, sijui idadi.
PoleeeWanaume wanaomba omba jamani uwiii...[emoji2][emoji2][emoji2]
Sent from my TECNO KA7 using JamiiForums mobile app
Nadhani ni jambo zuri sana kumuhonga mwanamke yaaani ni fahari ya kiume hata jogoo akikuta punje za mahindi hali atamwita kwanza mtetea adonoe kwanza na wewe ofcoz ukihonga kuna ka kitu unapewa bwanaaaaWasalaam wana JF
Naomba niwasilishe utafiti wangu uchwara kuhusu hawa watu. Ni reflection ya ukweli.
Katika jitihada za serikali kupunguza umasikini na kuondoa omba omba hili kundi haliangaliwi, yaani wanawake na akina dada.
Wana njaa kali na wanajitoa muhanga kwenye front zote. Wako wanaofanya ukahaba wa wazi mabarabarani, maofisini, na mitandaoni. Na wapo wengine wanafanya hivyo indirect kwenye mahusiano na mpaka kwenye ndoa zao pia. Yaani, exchange ya viungo vya uzazi na pesa. Na sehemu kubwa ni wale wanaopenda slope, yaani kimjini kitonga au udangaji.
Kimsingi, siyo rahisi kuwa na meaningful relationship hapa Tanzania. Ukimtongoza binti au mdada leo, kesho yake wewe umekua sponsor, utaambiwa gesi na umeme vimeisha, anataka hela ya saloon, mafuta ya gari na service kama hilo gari analo,na wakati mwingine ata vitu vidogo vidogo kama vouchers, yaani invoices ni nyingi mpaka unashangaa alikua anaishije kabla haujakutana nae.
Wanawake wengi wanachukulia mahusiano kama chanzo cha mapato au relief from their financial responsibilities na mbaya zaidi kama wameshnda bingo (bahati nasibu).MBONA MAMA SAMIA SULUHU HASSAN ANAJIPAMBANIA NA SASA NI RAISI NA TUNAMUHESHIMU
Pengine, sisi kwa sisi, kibongo bongo tunaweza kuhimiliana, je wenzentu wa maitaifa mengine wataweza? Sasa bssi, ni aibu gani hawa dada zetu wanalipa hili taifa kwa wageni kutoka nje ya nchi? watawachukulia kama Gold digqģers.
Tunaomba serikali iwe na mkakati wa makusudi, pengine kuanzia shule za msingi kuwapa ujasiri wanawake. Ujasiri wa kujitegemea, kuwafundisha kuona aibu kuomba na kuwa wategemezi. Kuwa mwanamke siyo kuwa handicapped na siyo justification au leseni ya kuwa omba omba. Tusiruhusu kuwa na taifa lililojaa wanawake wadangaji na omba omba.
katika muktadha huu, kama nchi za wenzetu wameweza sisi kwanini tushindwe? Nchi za wenzetu katika mabara ya ulaya na america wanawake omba omba wapo kwa idadi ndogo sana.
Ikumbukwe, hakuna omba omba anaye heshimika, hizo ndizo harsh realitiies of capitalism.
Mwenye akili na aelewe.
REJEA:
Mithali 31:10-31
Mke mwema, ni nani awezaye kumwona? Maana thamani yake yapita thamani ya marijani. Moyo wa mumewe humwamini, Wala hatakosa kupata mapato. Humtendea mema wala si mabaya, Siku zote za maisha yake. Hutafuta sufu na kitani; Hufanya kazi yake kwa moyo wote. Afanana na merikebu za biashara; Huleta chakula chake kutoka mbali. Tena huamka, kabla usiku haujaisha; Huwapa watu wa nyumbani mwake chakula; Na wajakazi wake sehemu zao. Huangalia shamba, akalinunua; Kwa mapato ya mikono yake hupanda mizabibu. Hujifunga nguvu viunoni kama mshipi; Hutia mikono yake nguvu. Huona kama bidhaa yake ina faida; Taa yake haizimiki usiku. Hutia mikono yake katika kusokota; Na mikono yake huishika pia. Huwakunjulia maskini mikono yake; Naam, huwanyoshea wahitaji mikono yake. Hawahofii theluji watu wa nyumbani mwake; Maana wote wa nyumbani mwake huvikwa nguo nyekundu. Hujifanyia mazulia ya urembo; Mavazi yake ni kitani safi na urujuani. Mume wake hujulikana malangoni; Aketipo pamoja na wazee wa nchi. Hufanya nguo za kitani na kuziuza; Huwapa wafanya biashara mishipi. Nguvu na hadhi ndiyo mavazi yake; Anaucheka wakati ujao. Hufumbua kinywa chake kwa hekima, Na sheria ya wema iko katika ulimi wake. Huangalia sana njia za watu wa nyumbani mwake; Wala hali chakula cha uvivu. Wanawe huondoka na kumwita heri; Mumewe naye humsifu, na kusema, Binti za watu wengi wamefanya mema, Lakini wewe umewapita wote. Upendeleo hudanganya, na uzuri ni ubatili; Bali mwanamke amchaye BWANA, ndiye atakayesifiwa. Mpe mapato ya mikono yake, Na matendo yake yamsifu malangoni.
Ukukua utakuja kujua hujuiNadhani ni jambo zuri sana kumuhonga mwanamke yaaani ni fahari ya kiume hata jogoo akikuta punje za mahindi hali atamwita kwanza mtetea adonoe kwanza na wewe ofcoz ukihonga kuna ka kitu unapewa bwanaaaa
Huo ni mkakati wako wa kibazazi, kinachozungumwa hapa ni tabia mbaya iliyoenea, hatuwezi kuwa na taifa lenye wanawake omba omba wote. Lazima kitu kifanyike wajitegemeeNgoja niwambie kitu.
Mi sioni shida kuombwa na mwanamke as long as ninacho anachoniomba nitampa. Ila kama sina katu simpi kwa kujilazimisha. Akishindwa kuendana na hali yangu nampa nafasi aende wapo wengine 9 watakuja nitachagua tena mmoja.
Kuomba matumizi kwa mwanamke maana yake anakuambia nipo chini yako and bila wewe siwezi kuishi.
Mm huwa nafurahia kuombwa ila sasa isiwe kukomoana, nikigundua unanikomoa hata kile nlipanga kukupa sitakupa nitakutumia ukiona sio rizki unatumika basi nakupa nasasi ya ku move on afu tunabakia marafiki wazuri tu. Ili siku ingine tukikutana upo na mme mwenzangu tunapeana mikono tunakaa meza moja tunafurahi, au siku ingine tunapasha kiporo
Funga zipu mkuu hakuna mwanamke atakuombaHuo ni mkakati wako wa kibazazi, kinachozungumwa hapa ni tabia mbaya iliyoenea, hatuwezi kuwa na taifa lenye wanawake omba omba wote. Lazima kitu kifanyike wajitegemee
ukikua au ukiwa exposed utakuja kujua hujuiFunga zipu mkuu hakuna mwanamke atakuomba