80% ya Wanawake Tanzania ni 'omba omba'

Umeongea kitu kikubwa sana mkuu
 
Tuko katika mchakato wa kukujengea sanamu yako pale posta mpya
 
Mkuu usiwaseme vibaya wanawake hata wewe uliomba hifadhi kwao kwa miezi 9 kabla hujaja duniani
 
Mwanamke wa Kitanzania kuwa ombaomba siyo biological "trait" bali ni cultural trait. The phenomenon is 100% due to cultural and social norms. Nchi zilizoendelea Wanawake wapo tofauti hawana kabisa tabia ya kuombaomba. Hii tabia nimeiona kwa kila Mwanamke niliyeshiriki naye sex Bongo, na ni wengi sana, sijui idadi.
 
Unajidanganyaaaa
 
Hili lina ukweli ndani yake.
Mwanamke yeyote unless ni sugar mummy, ukisha sex naye wewe ni mradi tayari, kama ifuatavyo..


Kodi ya nyumba imepelea
Nywele zinahitaji retouch
Anahitaji dera
Anahitaji simu ya tachi( na si Tecno)
Mjomba kalazwa
Mtoto anaumwa( ni single mother, mtoto si wako)
Amekumisi anaomba anywe wine nyumbani
Ana shida ya elf 50..............
...............

Kazi kwako mwanaume.
Mahitaji yakizidi mtu anabadilisha line ya simu.
 
Wanawake wanawaomba wanaume sababu na wanaume wanawaomba wanawake. Ingekua sivyo wanaume wangeacha kutoa wanachoombwa ili kukomesha tabia ya kuomba

Siku hizi wote wanawake na wanaume wanadai haki sawa
Huo ni upuuzi mbona ulaya watu wanadate wanasex na wana split bills. Ukishaweka mentality kwamba uchi wako ni bidhaa ambayo haitoki bila hela ushakuwa kahaba. Kwani wanawake ndo hawapendi sex na wapenzi?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…