80% ya Wanawake Tanzania ni 'omba omba'

mnhhhhhh.......its soo unfair kulinganisha 'wanawake' nchi zilizoendelea na Tanzania,do they face same challenges/struggle..???...ushasema nchi 'zilizoendelea meaning wanawake wa huko wana access to better education opportunities, hivyo better job prospects na tena their social welfare system is in place to support them in case things fall apart.

Sasa tuangalie upande wa pili; gender gap in education is real in Tanzania; low enrollment rates na high drop out rates in girls,no support from the government...what is the future for these girls??? bado unategemea wasiombe....kwani wanapenda???? Aloooooo
 
Huo ni upuuzi mbona ulaya watu wanadate wanasex na wana split bills. Ukishaweka mentality kwamba uchi wako ni bidhaa ambayo haitoki bila hela ushakuwa kahaba. Kwani wanawake ndo hawapendi sex na wapenzi?

Ulaya sio Africa instagram
Tuna mila na desturi zetu sisi. Ila kama unataka kuiga kila kitu cha ulaya utafeli. Lakini sio mbaya ukahamia huko
 



Ni kweli tena jamii inafahamu mwingi juu ya mahusiano ya kimapenzi.
 
Punguza ukali wa maneno

Sent from my TECNO KA7 using JamiiForums mobile app
 
Nadhani ni jambo zuri sana kumuhonga mwanamke yaaani ni fahari ya kiume hata jogoo akikuta punje za mahindi hali atamwita kwanza mtetea adonoe kwanza na wewe ofcoz ukihonga kuna ka kitu unapewa bwanaaaa
 
Ngoja niwambie kitu.
Mi sioni shida kuombwa na mwanamke as long as ninacho anachoniomba nitampa. Ila kama sina katu simpi kwa kujilazimisha. Akishindwa kuendana na hali yangu nampa nafasi aende wapo wengine 9 watakuja nitachagua tena mmoja.

Kuomba matumizi kwa mwanamke maana yake anakuambia nipo chini yako and bila wewe siwezi kuishi.

Mm huwa nafurahia kuombwa ila sasa isiwe kukomoana, nikigundua unanikomoa hata kile nlipanga kukupa sitakupa nitakutumia ukiona sio rizki unatumika basi nakupa nasasi ya ku move on afu tunabakia marafiki wazuri tu. Ili siku ingine tukikutana upo na mme mwenzangu tunapeana mikono tunakaa meza moja tunafurahi, au siku ingine tunapasha kiporo
 
Huo ni mkakati wako wa kibazazi, kinachozungumwa hapa ni tabia mbaya iliyoenea, hatuwezi kuwa na taifa lenye wanawake omba omba wote. Lazima kitu kifanyike wajitegemee
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…