Anaetakiwa kulipa ni muombaji. Unaenda dukani kwasababu unahitaji bidhaa, hutegemei mwenye duka akulipe kwakua ulikwenda dukani.Jambo hili liingie kwenye katiba mpya, anayepaswa kulipwa ni mkunaji au mkunwaji? Issue hapa ipo kwenye uhimilivu wa nyege, pengine akina mama wanao mkubwa na hapo ndipo tunapokua kwenye the weekest side katika negotiations.
Tunaanza na kuziba leakages Mkuu, wadangwaji tunapoteza hela nyingi sana kwa mwaka.Tafakari juu ya mambo ya kukujenga mkuu. Mishe za kuongeza other streams of income. Usiutumie muda mwingi sana kutuwaza.
The answer is marriage.Tunaanza na kuziba leakages Mkuu, wadangwaji tunapoteza hela nyingi sana kwa mwaka.
Hii dhana ya kumuhudumia mtu mzima mwenye akili na nguvu zake katika set up yoyote ile, iwe ndoa au mahusiano ndiyo aiingii akilini. Kwanini ahudumiwe, awe mke au mchepuko. Ndiyo mentality ya kuwa omba omba, mtegemezi na kupe. Mabepari hatutaki.The answer is marriage.
Unless kumhudumia mke wako pia utaona ni shida.
Pale kati ni patamuKama waombwaji wangeacha kutoa pesa na vitu vingine hii tabia inge kufa.
Katika jamii ya Waarabu mwanamke kazi yake ni kumpa furaha mune wake. Kama mume ana uwezo anaweka vijakazi na mke anatakiwa kuwa msafi na tayari kwa mume wake muda wote.Hii dhana ya kumuhudumia mtu mzima mwenye akili na nguvu zake katika set up yoyote, ndoa au mahusiano ndiyo aiingii akilini. Kwanini ahudumiwe, awe mke au mchepuko. Ndiyo mentality ya kuwa omba omba, mtegemezi na kupe. Mabepari hatutaki.
Ukifuatilia kwa makini dini ndiyo chanzo cha kuwafanya wanawake kuwa ni kiumbe dhaifu, omba omba na tegemezi. Kuanzia hadithi ya adamu na hawa na maandiko mengine. Wanawake hawataki ku-explore their potentials na kufanya meaningful contribution kwenye familia na maisha ya hapa duniani. Wanabaki kuwa kupe, sisi mabepari hatutaki.Katika jamii ya Waarabu mwanamke kazi yake ni kumpa furaha mune wake. Kama mume ana uwezo anaweka vijakazi na mke anatakiwa kuwa msafi na tayari kwa mume wake muda wote.
Ila pia hawana tofauti na jamaa zetu wale wafuga booty hawa wanaolalamikiwa kila siku yaani hata km mmepewa milioni pamoja hataki yake iguswe, utasikia poti waniongezee nyingine ya baridi, poti unajua hizi pombe zitatuua hatujala toka asubuhi watuwekee ya mbogamboga au rost kavu, ikija bill anakusogezea, yaani yeye hata mia hajatoa wakati ana milioni mfukoni[emoji34][emoji34][emoji34][emoji34]Ni mambo fikirishi, yaani akina mama ni kama wametumwa kutukomoa financially
Unamaana wawe wanatoa bure.Private parts siyo tradable commodities. Hii inatakiwa iingie kwenye vichwa vya dada zetu wa kitanzania
Ni vita ya WWI na WWII ndiyo ilifanya wanawake wa Ulaya kuanza kupata ajira. Hasa maisha kati ya WWI na WWII wanawake walikua ni watunza nyumba na mwanaume ndiye alitoka asubuhi.Ukifuatilia kwa makini dini ndiyo chanzo cha kuwafanya wanawake kuwa ni kiumbe dhaifu, omba omba na tegemezi. Kuanzia hadithi ya adamu na hawa na maandiko mengine. Wanawake hawataki ku-explore their potentials na kufanya meaningful contribution kwenye familia na maisha ya hapa duniani. Wanabaki kuwa kupe, sisi mabepari hatutaki.
Hii dhana haujaielewaUnamaana wawe wanatoa bure.
Kama umeomba lazima uonyeshe appreciation ya kutoa nauli, vocha, kinywaji na chakula.
Au mkuu ulitaka wakupigie simu kwa gharama zao, waje ulipo kwa nauli zao, wajinunulie chips, wakupe halafu waage waondoke?
Hata sabuni ya kuoshea ule uchafu aliomwaga inamuuma kuitoa.Unamaana wawe wanatoa bure.
Kama umeomba lazima uonyeshe appreciation ya kutoa nauli, vocha, kinywaji na chakula.
Au mkuu ulitaka wakupigie simu kwa gharama zao, waje ulipo kwa nauli zao, wajinunulie chips, wakupe halafu waage waondoke?
Fanya tafiti kwenye jamii zetu na utagundua wanawake walikua na mchango mkubwa sana kwenye maendeleo ya familia kabla ya mapokeo ya hizi dini. Jamii kama za wanyakyusa na wachagga wanawake walikikua wanapambana pamoja na wanaume zao kujenga familia. Hawakuwadanga waume zao.Ni vita ya WWI na WWII ndiyo ilifanya wanawake wa Ulaya kuanza kupata ajira. Hasa maisha kati ya WWI na WWII wanawake walikua ni watunza nyumba na mwanaume ndiye alitoka asubuhi.
Ni wake wa wanaume wanaolipwa kima cha chini ndiyo walitafuta kazi kuusaidia mshahara wa mume wake. Mwanaume akimuacha mke wake afanye kazi ni dalili kuwa mshahara wa mume hautoshi.
Kule Pwani wanawake ndiyo wazalishaji wakubwa. Wanalima mihogo, mpunga na hata mahindi. Wanaume hucheza bao na kunywa kahawa.Fanya tafiti kwenye jamii zetu na utagundua wanawake walikua na mchango mkubwa sana kwenye maendeleo ya familia kabla ya mapokeo ya hizi dini. Jamii kama za wanyakyusa na wachagga wanawake walikikua wanapambana pamoja na wanaume zao kujenga familia. Hawakuwadanga waume zao.
Hao ambao kutwa wapo kwenye vigodoro?Kule Pwani wanawake ndiyo wazalishaji wakubwa. Wanalima mihogo, mpunga na hata mahindi. Wanaume hucheza bao na kunywa kahawa.
Vigodoro ni mambo ya utandawazi, ngoma ya mtoto huchezwa mara moja tu na majirani wote mnaalikwa.Hao ambao kutwa wapo kwenye vigodoro?
Basi Mkuu kuna mahali unajimiksi. Usije waacha watoto wahudumiwe na Mama yao.Hii dhana ya kumuhudumia mtu mzima mwenye akili na nguvu zake katika set up yoyote, ndoa au mahusiano ndiyo aiingii akilini. Kwanini ahudumiwe, awe mke au mchepuko. Ndiyo mentality ya kuwa omba omba, mtegemezi na kupe. Mabepari hatutaki.